Katibu wa TLP afukuzwa kazi...

zumbemkuu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
10,831
8,622
Katibu wa TLP taifa ametimuliwa kazi leo na Mwenyekiti wa chama hicho mh. Mrema.

Source: ITV habari
 
Duh...nimecheka sana leo.Yaani jamani kuna vyama vyenye Burudani Tanzania hii.

ha ha ha ha ha ha! mkuu nilikuwa najiuliza hii thread niiweke kule kwenye jukwaa la funs nini? binafsi nilicheka sana, kumbe na wewe uliona!
 
TLP ndo nini? Hivi ata Mrema ni mh jamani kwa lip?!!! Acheni kujidharirisha bw.
 
Mrema vyama anavyokuwa mwenyekiti anaviendesha kama kiosk chake cha vinywaji baridi. Ina maana Mbowe anaweza kuhamka tu na kumfuza Dr Slaa?

Please vyama vipewe grade sasa this is too LOW au alikuwa amelala?
 
Kwani Katibu mkuu wao anateuliwa na Mrema au wanachama wana mwaga kura ?
TLP bado ipo hai kweli ?na hasa mikoani na hata Dar ?
 
mrema vyama anavyokuwa mwenyekiti anaviendesha kama kiosk chake cha vinywaji baridi
ina maana mbowe anaweza kuhamka tu na kumfuza dr slaa?

please vyama vipewe grade sasa this is too LOW au alikuwa amelala?

mkuu ungeona namna anavyofukuzwa, ha ha ha ha ha ha! halafu na huyo anayefukuzwa naye hamnazo kidogo, yupo nje anasema hana nauli anadai pesa yake ya posho.
 
Kuna mkutano wa chama cha TLP ulikaa ndio umeamua au Mrema ndio kamfukuza?

mkuu kulikuwa na mkutano, lakini show ilikuwa inaonyeshwa kwa mrema na huyo bwana anayefukuzwa, nimeshindwa kusilikiza hata jina lake kwa jinsi nilivyokuwa nacheka.
 
mkuu ungeona namna anavyofukuzwa, ha ha ha ha ha ha! halafu na huyo anayefukuzwa naye hamnazo kidogo, yupo nje anasema hana nauli anadai pesa yake ya posho.

hahahaha hivi hakuna tume ya kuratibu mwenendo wa vyama vya siasa hasa kama vina udikta,
nadhani mrema katengeza sheria/kanuni za chama magama mwenyekiti mwisho na ndiye kamati kuu na halimashauri kuu
 
ha ha ha ha ha ha! mkuu nilikuwa najiuliza hii thread niiweke kule kwenye jukwaa la funs nini? binafsi nilicheka sana, kumbe na wewe uliona!

Ila kwa kweli nidhamu hakuna.Ukiona chama cha siasa kinafanya mambo kama yale basi ujue kuna Tatizo.Nilicheka sana jamaa walivyokuwa wanajibizana na kuvutana hadi jama akafikia conclussion sasa anataka posho yake ya leo,mara huwezi kunifukuza .loh! They have made my day!
 
Jaman mmekosa komedi nzuriii hadi mtoto wangu wa darasa la kwanza amecheka kwa taarifa zaidi jaribun kuvzia taarifa za habari hapo asubuh Itv or tbc
 
Sorry! Hivi huyu jamaa ni kabila gani?

aisee hata mimi sijui, ila ni mtanzania, unataka umlinganishe ubongo wake na kabila lake nini? ila jamaa alikuwa anafanania sana na chama chake.
 
kuna baadhi ya vyama vinaharibu kabisa maana ya neno chama
.
 
cjui utaratibu ndani ya TLP ukoje juu ya nafasi za uongozi, Mwenyekiti anakuwa ndie mwamuzi wa mwisho ama kuna viikao vinapaswa kukaa kupitisha maamuzi
 
Back
Top Bottom