Katibu wa TLP afukuzwa kazi...

kuna baadhi ya vyama vinaharibu kabisa maana ya neno chama
.

yaani bora hata chama cha waendesha guta, au chama cha wanywa kahawa vinaendeshwa kwa misingi ya haki na demokrasia kuliko TLP.
 
hiyo kali ! Lyatonga hawez kumuacha coz anaogopa ubunge wake utakuwa mashakani
 
Hayo ndiyo mambo ya demo-kla-siaah! Kwa nchi zetu kwani vyama vingine ni vya kifamilia/taasisi binafsi
 
Ssshhhsshh ! Subirini wapenzi wa Mrema watakapoamka. Waliondoka naye CCM, wakahama naye NCCR na sasa wako naye TLP ! Wapo wanawake waliwahi kuvua nguo na kujigaragaza uchi barabarani wakimtetea Lyatonga Agostino Mrema wa Kiraracha, sijui bado wako naye hadi leo.
 
aisee hata mimi sijui, ila ni mtanzania, unataka umlinganishe ubongo wake na kabila lake nini? ila jamaa alikuwa anafanania sana na chama chake.

Sorry Mkuu. Kujua kabila na dini ya mtu ndio kanuni mpya ya ki-magamba ili kuweza kufikia conclusion nzuri ya nafasi ya mhusika katika chama chake. Hivyo, naijaribu ili kuona kama itafikia kwenye valid conclusion. Lakini preliminary tests zinaonesha kwamba kuna uwezekano kanuni yenyewe ika-apply kwa vyama ambavyo ni mwiba mkali kwa magamba na si kwa kila chama na pia kanuni yenyewe hubadilika mara kwa mara kadiri upepo wa kisiasa unavyovuma.
 
Mrema vyama anavyokuwa mwenyekiti anaviendesha kama kiosk chake cha vinywaji baridi. Ina maana Mbowe anaweza kuhamka tu na kumfuza Dr Slaa?

Please vyama vipewe grade sasa this is too LOW au alikuwa amelala?

Mi nilikuwa najiuliza kama wajumbe wa mkutano ule hawakuwa wamevutishwa bangi au kupewa "Takrima" na Mzee wa Kiraracha?
Kama demokrasia ndiyo staili ile ya Mrema, basi tumekwisha!
Mi namshauri Tao aende Mahakamani maana uonevu unaonekana waziwazi hata kwa kipofu. naamini haki itatendeka ingawa kwa Mahakama zetu mwenye fedha ndiye mwenye haki, ikiwa hilo litazingatiwa Tao atakuwa hana chake.
Hivi Mrema alizaliwa awe Mwenyekiti wa vyama tu na nafasi nyingine hazimtoshi? Wakati umefika sasa kwa wanachama wakereketwa wa TLP kuilinda hadhi ya chama chao na kumfukuza adui wa demokrasia huyu Mrema ambaye ni kama mcheza michezo ya comedy. CCM katika hili wanachekea tumboni maana kibaraka wao Mrema anatimiza wanachotaka kwa uaminifu mkubwa, sijui wananchi wa huko walikomchagua nduli huyu wanajisikiaje wanapomwona akiipondaponda demokrasia.

ha ha ha ha ha ha ha ha haaa, vituko viko TLP Bwana, chama cha magamba hakioni ndani!
 
magamba waige mfano huu wa kumvua gamba mtu live live! hi! hi! hi! hi! hi!..,mapacha 3 wavuliwe uanachama kwa style ile ya TLP, looh! haponi mtu siku hiyo.
 
Mi nilikuwa najiuliza kama wajumbe wa mkutano ule hawakuwa wamevutishwa bangi au kupewa "Takrima" na Mzee wa Kiraracha?
Kama demokrasia ndiyo staili ile ya Mrema, basi tumekwisha!
Mi namshauri Tao aende Mahakamani maana uonevu unaonekana waziwazi hata kwa kipofu. naamini haki itatendeka ingawa kwa Mahakama zetu mwenye fedha ndiye mwenye haki, ikiwa hilo litazingatiwa Tao atakuwa hana chake.
Hivi Mrema alizaliwa awe Mwenyekiti wa vyama tu na nafasi nyingine hazimtoshi? Wakati umefika sasa kwa wanachama wakereketwa wa TLP kuilinda hadhi ya chama chao na kumfukuza adui wa demokrasia huyu Mrema ambaye ni kama mcheza michezo ya comedy. CCM katika hili wanachekea tumboni maana kibaraka wao Mrema anatimiza wanachotaka kwa uaminifu mkubwa, sijui wananchi wa huko walikomchagua nduli huyu wanajisikiaje wanapomwona akiipondaponda demokrasia.

sio bure kuna kitu anawatishia huyu mzee, husikute hata hao wajumbe ni wajomba zake wote, ukifuatilia historia yake hii sio mara ya kwanza,
harafu watu wakitaka kimtoa kikwete anasema uchu wa madaraka lakini yeye hii ni sawa,
Kwanza yeye na Tao alipaswa yeye ang'oke kwanza kwa kushusha udenda bungeni na kudhalilisha chama.
wapinzani wake wangetumi hiyo picha kuleta ushawisha kwamba kachoka , hatawalaza wote usingizi
 
magamba waige mfano huu wa kumvua gamba mtu live live! hi! hi! hi! hi! hi!..,mapacha 3 wavuliwe uanachama kwa style ile ya TLP, looh! haponi mtu siku hiyo.

CCM wana nia ya kuwavua gamba mapacha watatu live live kama unavyosema lakini tatizo ni kwamba jamaa wameshikilia mboga
na kikwete hawezi kulumangia, huyu aliyefukuzwa ni mnyonge sio sawa na RACHEL kama CCM wamechoka kukaa magogoni wafanye mkutano wa wazi hivyo katika kuwavua gamba hao jamaa ndio utaona wepesi wa mkazi wa magogoni plot 15
 
Nimesoma thread yote kujaribu kupata picha nini kimetokea kwanza sijaipata, unashindwaje kuelewa kuwa hapa tunapeana taarifa kisha tunaelimishana? Nashauri mtu ajitolee kuirecord hiyo habari kesho asubuhi kisha iwe uploaded ktk you tube na link ibandikwe hapa
 
Inafaa sasa Mtikufu Lyatonga atangaze tu TLP ni mali yake binafsi,wanapigania demokrasia lakini hao wenyewe ni zaidi ya madikteta

Wanakula kodio zetu bure tu, naamini na hiki chama kila kula mgawo kutoka hazina kila mwezi, cha kusikitisha huu mgawo ni kodi za wafanyakazi maskini ambao kila mwezi wanakatwa na watawala
 
hii weekend bwana....kwa hiyo mkuu unataka kwenye fomu za maadili ya umma akitangaza mali zake,asipoweka TLP awe amedanganya mkuu?
 
Ni Hamad Tao

jembe Ben,
Huyu Tao nafahamiana nae sana, leo nimecheka sana kusikia kavuliwa gamba.
Niliwahi kumwambia asifanye siasa za ruzuku kwani ana uwezo mzuri wa kuwa kiongozi, ila akasema, siwezi kumshawishi ahame chama kinachomthamini, eti kinamthamini kwa ukatibu .
SASA LEO KAVULIWA GAMBA Haaaahahahaahaaaaaaaaaa Mr TAO come on meeen, nafasi ya kuwa kiongzi bado unayo, karibu harakatini.
 
hii weekend bwana....kwa hiyo mkuu unataka kwenye fomu za maadili ya umma akitangaza mali zake,asipoweka TLP awe amedanganya mkuu?

Tunataka kodi tunazolipa kila mwezi ziende kwa wananchi wanaokufa na njaa, sisaidie huduma za Jamii na sio kwenda kulipa WAhuni kama wakina Mrema na Genge lake

kama hulipi kodi huwezi elewa machungu ya kulipa kodi. TLP inamanufaa gani kwa wanaokufa kwa njaa Huko Ngorongoro?
 
Katibu wa TLP taifa ametimuliwa kazi leo na Mwenyekiti wa chama hicho mh. Mrema.

Source: ITV habari

ahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaa. wakati naicheki habari hii nilikuwa nina konyagi mdomoni. kwa kucheka nimepaliwa hadi sasa sauti imekauka. mzee wa udenda bwana. ahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom