Kama vile tulivyomuaga Nakaaya kwa heri na fanaka hapa JF, huyu naye tunamtakia kila la heri
Hivi yuko wapi huyu Bi Nakaaya?
Nimesikia taarifa katika kituo cha star tv jioni hii kuwa "katibu" wa chadema wilaya ya nyamagana amehama na kujiunga na ccm!
Sababu ni kwamba sera za chadema hazitekelezeki.
Ama kweli kila mtu anatafuta pa kula kwa sasa ma masha anajaribu kutafuta namna yoyote ile ili wana nyamagana waone kuwa chadema haifai,....
swali ni kwamba,huyu mama kaenda kwa sababu kapewa "chakula" au ni kweli watu wa nyamagana twambieni?
duh tumeumia
Katibu wa CHADEMA wilayani Nyamagana bi zaitun amekabizi kadi ya chama hicho leo kwenye mkutano wa kampain wa mgombea ubunge wa jimbo hilo bwana Masha.
source; star tv asaiv
Kweli njaa ni mwanaharamu. Matumbo haya yatatuua. Hata hivyo kuhama kwake hakuna impact kwa Chadema. Mwache aende salama. Asije akarudi, akifanya hivyo tutampaka kinyesi cha kuku.