Katibu wa CHADEMA Nyamagana ahamia CCM

hao viongozi wa chadema walio rudisha bendera , kadi ni choka ilembaya, sasa kama alivyo sema Prof Baregu kwamba mafisadi wanatumia unnyonge na umasikini wa watanzania kuwa nunua, huyo fisadi Mansoor na Swahiba wake wa Nyamagana wanaeleweka wala si jambo la kushangaza, lakini wengi wa wananchi iwe wa ccm au wawapinzani wanajua wakuwapigia kura, ingawa kula wanakula kwa mafisudi.
na viongozi wenyewe wenye kupokea hizo kadi na bendera watakuwa mazumbukuku, maana mtu mwenye kujiamini na sera zilizo bora huta jishughulisha na maji taka kama hizi, utapanda jukwaani kuwashawishi na kuuza sera zako period kwa wapiga kura. ukiisha anza kununua watu ina maana na wewe una bei yako ya kununuliwa.
 
Halafu inaonekana kuna usanii katika hili. Mbona tv channels zingine hazijaongelea habari hii. Hata TBC wakae kimya?
 
Halafu inaonekana kuna usanii katika hili. Mbona tv channels zingine hazijaongelea habari hii. Hata TBC wakae kimya?

labda bado hawajazipata...ila hizi njaa ni mbaya sana! watabaki makamanda waukweli, mamluki wote lazima watarudi zizini kwao
 
Kwani uraia wa bi. Zai ukoje? Si unajua mhe. Ni waziri wa mambo ya ndani...may be a blackmail....or just njaa...au....

Halafu mods, huyu jamaa wa chadamu anatakiwa kuthibitisha madai yake. Signature yake ina dira ya kichokozi....kama nduli fulani.
 
Katika vitu vinavyonifurahisha uchaguzi huu ni namna watanzania wanavyoignore hawa wapuuzi tulishasikia Kiyabo wa CCJ kwenda CCM, Mwenyekiti wa zamanni CCM mkoa Iringa kurudi CCM, Nakaaya etc. wht change did they bring about???????????
 
Katika vitu vinavyonifurahisha uchaguzi huu ni namna watanzania wanavyoignore hawa wapuuzi tulishasikia Kiyabo wa CCJ kwenda CCM, Mwenyekiti wa zamanni CCM mkoa Iringa kurudi CCM, Nakaaya etc. wht change did they bring about???????????

nada...........zero

Still the next president is Dr.Slaa(PhD)
 
Nimeangalia taarifa ya habari ya kada wa ccm (She is rotten up stairs) ameongelea umwagaji wa damu utakaofanywa na chadema without evidence jukwaani. Ameshapewa mlungula. Another Nakaya!!!!!!!!!!!!!!:yield:
 
Opposition party leader in Mwanza joins ruling CCM a day before polls




By Cosmas Mlekani



30th October 2010


CHADEMA secretary for Nyamagana District Zainabu Rubinza has ditched her party for the ruling party, CCM, with just one day left before the general election slated for tomorrow.
She made the information public yesterday here at a CCM public rally held in Igoma.
Rubinza said she decided to ditch the opposition party after realising that most of its leaders “are there for personal gains
 
Wako wapi waangusha matusi wajewampe yake kama walivyofanya kwa nakaya na wengine
 
Kwa taarifa yako katibu wa nyamagana ni mr. Mshumbusi (mpiganaji wa pingamizi).....acha uzushi!!!!!!!!!!
 
Wako wapi waangusha matusi wajewampe yake kama walivyofanya kwa nakaya na wengine
Burn ndugu yangu... nimesoma post zako nimegundua una hasira sana, haina sababu kwani from monay we will be talking a different language, unakumbuka ya kyela kati ya mtanzania na mwakyembe??? yanapita tu

Kuhusu huyu dada, ametumia haki yake ya kikatiba na tumpongeze sana, ukweli ni kwamba chadema mwanzo hawakua na expectations zozote nyamagana, expect baada ya wenje kurudi... na alipata umarufu kutokana na fitna za masha za mwanzo

Just FYI... kuna fitna kubwa imefanyika na huyo dada ni mmoja tu ambaye yeye ameamua kabisa kuja public, wengine wamemeza na kugugumia kimya, Mwanza ni balaa na ukienda pale sparrow na lakairo utanielewa

the matching goes on, na huyo dada may jusy be another fatma maghimbi
 
Huyu dada sio kiongozi wa maana na kachelewa hata kushawishi wenzake wamsaidie masha. Masha amekabwa. WaTz. wa Mwanza kumbukeni aliyowaasa Slaa juzi.
 
njaa mbaya ndugu yangu, huyo atakuwa ameahidiwa kusaidiwa kulea watoto, hali mbaha mwezi huu wote hela haipatikani. Ila tuangalie u never know huyo mama hakuwa serious kwenye chama chake alikuwa anabeep tu. sasa kuondoka kwake hakuna impact yoyote.

aende zake
 
Kelele za mlango hazimsubui mwenye nyumba.Tunajua nguvu ya pesa ilotumika huko Nyamagana.

Ushindi ni CHADEMA tu.Ya uraia yalishindwa sembuse huyo mama.Njaa tu.Na atajuta
 
Back
Top Bottom