well done,Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Kanda ya Kati
Inadaiwa Katibu huyo huku akijua utaratibu wa CHAMA chake ameamua kuvunja Sheria makusudi na kujiropokea uongo
Natoa Onyo kwa Mamluki wengine waliohongwa Kwamba, wakiendelea n.a. Usaliti wao tutaendelea kuwafyeka kwenye CHAMA bila huruma yoyote
Mungu Ibariki Chadema
Soma pia Katibu CHADEMA Morogoro: Mamlaka za Chama ziingilie kati tuhuma zinazomhusisha Makamu Mwenyekiti kuhusu michango

Ukicheka na nyani utavuna mabua. Fyeka nyani na tumbili woteHii ndio Taarifa ya sasa kutoka Kanda ya Kati
Inadaiwa Katibu huyo huku akijua utaratibu wa CHAMA chake ameamua kuvunja Sheria makusudi na kujiropokea uongo
Natoa Onyo kwa Mamluki wengine waliohongwa Kwamba, wakiendelea n.a. Usaliti wao tutaendelea kuwafyeka kwenye CHAMA bila huruma yoyote
Mungu Ibariki Chadema
Soma pia Katibu CHADEMA Morogoro: Mamlaka za Chama ziingilie kati tuhuma zinazomhusisha Makamu Mwenyekiti kuhusu michango
Mwamba Yuko kaziniUmakini ni pamoja na kusimamia Katiba ya Chama
Sultan?Mwamba Yuko kazini
CHADEMA walikuwepo watu wenye nguvu sana zama za kina zito kabwe na slaa lakin walitoka wao chama kikabaki imara kabisa, kaja mbowe mkubwa kabisa na genge lake wakapiga sarakasi zao weeee! Lakini bado CHADEMA ikabaki imara kamisa kwa hiyo sina hofu kabisa kabisa kwa hao ma hawa wengineAisee...
CHADEMA katika kipindi wanapaswa kuwa makini, uvumilivu na maamuzi magumu ni hiki kipindi.
Wahuni hawalali, CHADEMA imekuwa threat kwao kwenye kila nyanja, hii vita ni vita ya kutaka kuifanya CHADEMA iwe CCM B..
CHADEMA inabidi wapambane kwa jasho na damu.
Fyekeni wasaliti wote, fyekeni mamluki bila huruma..
CHADEMA wakishinda hii battle watakuwa katika nafasi nzuri sana.
Endeleeni kudanganya wajinga wenzenuMwamba Yuko kazini
Aisee...
CHADEMA katika kipindi wanapaswa kuwa makini, uvumilivu na maamuzi magumu ni hiki kipindi.
Wahuni hawalali, CHADEMA imekuwa threat kwao kwenye kila nyanja, hii vita ni vita ya kutaka kuifanya CHADEMA iwe CCM B..
CHADEMA inabidi wapambane kwa jasho na damu.
Fyekeni wasaliti wote, fyekeni mamluki bila huruma..
CHADEMA wakishinda hii battle watakuwa katika nafasi nzuri sana.
Hashauri hatua zichukuliwe haraka sana namna hii kwa kiongozi yeyote msaliti hasa kipindi hikiHii ndio Taarifa ya sasa kutoka Kanda ya Kati
Inadaiwa Katibu huyo huku akijua utaratibu wa CHAMA chake ameamua kuvunja Sheria makusudi na kujiropokea uongo
Natoa Onyo kwa Mamluki wengine waliohongwa Kwamba, wakiendelea n.a. Usaliti wao tutaendelea kuwafyeka kwenye CHAMA bila huruma yoyote
Mungu Ibariki Chadema
Soma pia Katibu CHADEMA Morogoro: Mamlaka za Chama ziingilie kati tuhuma zinazomhusisha Makamu Mwenyekiti kuhusu michango
Tumewadhibiti vibaya sana!Chadema ni ya wananchi sio ya viongozi, nimeshangaa sana hawa viongozi kuanzisha mivutano ambapo walikuwa na muda mwingi wa kukihama chama kipindi kimekataa kushiriki uchaguzi.
Ina umiza sana,wao kama wamefika bei wapishe ,sisi tusonge mbele
Akili za chawa hizo anachotazama tumbo lake pekeeIla watanganyika tupunguze njaa. Yani unakubali kumshambulia Heche kipindi yupo kwenye msiba. Aiseeh!