Katibu mwenezi wa ccm aongeza mpasuko ndani ya chama chake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katibu mwenezi wa ccm aongeza mpasuko ndani ya chama chake?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, Apr 16, 2012.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kwa kazi yake ya ukatibu kulikuwa na haja ya kudownload picha ya mwanachama mwezake kama hii na kuifanyia jokes kwenye facebook??au ndio wanaonyesha waziwazi jinsi uongozi wa chama chao ulivyo dhaifu???
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  kwani kadownload wapi? leta ushahidi
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  ipo kwenye facebook yake na anachangia kwa madharau sana,mbona lowassa ni mwanachama mwenzake?
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Umesahau bifu la hao mahasimu wawili toka enzi za Ujenzi wa Jengo la Umoja wa Vijana DSM
   
 5. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Huyo kijana wenzie wanamlia timing siku si nyingi watamfanyia kitu mbaya sana; we ngoja utakuja sikia!! Hao watu anaowachezea ni watu wana roho mbaya sana sana.
   
 6. m

  matawi JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  jitahidini kurahisisha mambo kwa kuweka vitu wazi zaidi mkisema imetoka facebook si kila mtu anaingiaga huko
   
 7. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  kwani kwenye hiyo picha ni nani huyo?
  ni mwanachama wa chama gani?
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Nape ana akili za kitoto sana..ndo shida ya watoto wanaokulia majalalani
   
 9. B

  Bugema ii Member

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ukion Katibu Mwenezi anaweka picha za catoon za wanachama wenzake tena waliokua viongozi kwa ridhaa ya CHICHIEMU kwa jokes ujue time for fall of the party is at close
   
 10. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  weka link facebook na sisi tujionee habari hii kijana anazidi kuweweseka kila anapoona picha ya Lowassa na bado
   
 11. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  Ni kweli facebook ni kubwa tunaweza kusingizia kama chanzo kumbe si kweli weka link na sisi tukachungulie na kurudi hapa kuchangia
   
 12. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Jaribu kuangalia akaunt za nape, sijaona. Sema huyu naye ana akaunti nyingi mno
   
 13. agatony8l

  agatony8l JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ya ngoswe mwachie ngoswe
   
 14. Dickson Mpemba

  Dickson Mpemba JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 330
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  hawa wanachama ambao wamepewa madaraka kwa sababu ya vyeo vya babazao kwa slogan yetu tunawaita wamepokea vijiti ndiyo wanaoenda kuua kabisa hiki chama, hawataki kuona selfmade politician anafika juu kwa juhudi zake mwenyewe lazima wamletee zengwe wanataka watu waliobebwa ili walipe shukrani, Time will tell very soon.
   
 15. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Mbona alivyoitwa na Mzee aende Arumeru haraka kumkampenia Mkwewe jamaa hata hakujiuliza wala kubisha? Uanaume ni kuonyesha msimamo na kuusimamia na sio kwenda kuchekea chooni huku unaogopa kucheka mbele ya wanaume.
   
 16. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Hivi kwa nini anamtenda hivi Mr. Presidee wa 2015? hii miaka 3 iliyobaki kufika 2015 kuna uwezekana rangi ya kijani ikawa imebaki tu jumba la makumbusho na asiwepo mtu yeyote mwenye kumbukumbu za karibu kuhusu entity inayoitwa CCM.
   
 17. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  niliiona kwenye picha zilizopo kwenye facebook yake.
   
 18. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,788
  Likes Received: 36,796
  Trophy Points: 280
  ameshindwa kumkabili kwenye vikao vya ndani kaamishia shuhuli kwenye FaceBook, that is layman solution, utakua lini nape?
   
 19. M

  Makupa JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Akina nani hao mkuu
   
Loading...