PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 9,114
- 29,960
Mwisho wa mwezi huu ameshapata hela ya bandoAlumni karudi leo kwa spidi ya hatari!
Sijui amelipwa madai yake, au ameamua kujitutumua tu!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho wa mwezi huu ameshapata hela ya bandoAlumni karudi leo kwa spidi ya hatari!
Sijui amelipwa madai yake, au ameamua kujitutumua tu!.
Sent using Jamii Forums mobile app
shaka s. shaka UVCCM aliolewa na salum Mpelembwe huko Tanga... nae ni wa ufipa?Ungeshangaa maprost wa chadema wamepewa ubunge vitu maalum na DJ makengeza baada ya kuwaduu na usisahau Kuna malesbians wabunge wa ufipa
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe na heshima na wazee wenu hapo Lumumba, mbona vijana adabu yenu ndogo hivyo?Mzee tupatupa wa Ufipa, kama huna kitu cha kuposti nenda kilabuni ukapate hata kitochi cha mbege.
Mkuu nadhani kipindi kile cha kikwete nadhani buku7 ilikuwa per day, bado walipewa poll posho kibao, kumbuka kitengo hicho kilisimamiwa pia usalama kwa hiyo vijana wa buku saba walijiona tayari wapo kwenye system ya Taifa na pale rumumba walikuwa na office yao ya propaganda mitandaoni, kwa hiyo baada ya jiwe kuingia kukawa hakuna chochote kinachoendelea wakabakia wachumia tumbo tu kina Aluminium, kidogo kaki si pesa alinufaika kidogo kwa sasa wengi wao wanaisoma number, hilo ndio kundi la buku 7.Aisee Leo ndo umewaumbua hasa hawa mambumbumbu wa CCM, yaani sh 7,000 per day na siyo per hour, ndo iliwafanya hawa mazezeta kutetea kila uchafu wa serikali na CCM, ndo maana baadhi yao wametoweka hatuwaoni humu Kama YEHODAYA, Lizaboni, Barbarosa na wengineo kumbe kisa ni Buku 7 imekata.
Ama kweli CCM ni kiwanda cha mataahira, it's better someone lacks money or lives without money than having no wits!
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaelewa tu!Sijaelewa
Hivi ni kweli kuwa uliolewa na miaka 12 huko Mwanambaya!?Nioneshe mmoja "wa maana" ambae siyo chadema au kkkt au Mchagga.