Katibu Mwenezi Polepole, malipo ya 'Lumumba Buku 7' yameathiriwaje na Corona?

Aisee Leo ndo umewaumbua hasa hawa mambumbumbu wa CCM, yaani sh 7,000 per day na siyo per hour, ndo iliwafanya hawa mazezeta kutetea kila uchafu wa serikali na CCM, ndo maana baadhi yao wametoweka hatuwaoni humu Kama YEHODAYA, Lizaboni, Barbarosa na wengineo kumbe kisa ni Buku 7 imekata.
Ama kweli CCM ni kiwanda cha mataahira, it's better someone lacks money or lives without money than having no wits!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nadhani kipindi kile cha kikwete nadhani buku7 ilikuwa per day, bado walipewa poll posho kibao, kumbuka kitengo hicho kilisimamiwa pia usalama kwa hiyo vijana wa buku saba walijiona tayari wapo kwenye system ya Taifa na pale rumumba walikuwa na office yao ya propaganda mitandaoni, kwa hiyo baada ya jiwe kuingia kukawa hakuna chochote kinachoendelea wakabakia wachumia tumbo tu kina Aluminium, kidogo kaki si pesa alinufaika kidogo kwa sasa wengi wao wanaisoma number, hilo ndio kundi la buku 7.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
68 Reactions
Reply
Back
Top Bottom