Katibu Mwenezi Polepole, malipo ya 'Lumumba Buku 7' yameathiriwaje na Corona?

Ushajitangaza kwenye ID yako, si ingewekwa wazi tu kuwa "mliberali" maana yake ni kuwa kama Tito.
Ajuza Faiza Foxy chukua kitoweo hicho.
1585566330325.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi mabasher tunawajua nyie chakla chetu hamjifichi
Nyie magasho spidi ya kuliwa itaongezeka, vile vijisenti mlivyovitarajia vimeziuwa na.mnaowaita mabeberu ( mnawakataa lakini visenti vyao mnavitaka) . Kazi mnayo.
 
Unajua kudai ujira wa kazi ya kijinga pia ni ujinga eeh!! Hawa kweli empty brain, maana zingekuwemo wangeona hata aibu kudai.
 
Back
Top Bottom