LAZIMA NISEME
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 232
- 260
Wote?Akimaliza kutoa notisi hiyo na Mabalozi wake pia wanarudishwa nyumbani na ndiyo inakuwa mwisho wa misaada,Uwekezaji na Utalii.Mtakuwa tayari?Hapo ndipo nchi ilipofikia. Rais mwenye mamlaka kamili hawezi kuachia hili hao ni wa kupewa masaa 24 tu.
This is terribleHapo ndipo nchi ilipofikia. Rais mwenye mamlaka kamili hawezi kuachia hili hao ni wa kupewa masaa 24 tu.
Mabalozi swala la ugaidi ni muhimu sana kwao kwa ajili ya usalama wa wao na raia wao. Hukumu ndiyo itawafanya waendelee kuwapo au waondoke. Unapoitangazia dunia kuwa nchini mwako kuna ugaidi ujue huo si bongo muvi hivyo lazima ukubaliane na wasiwasi wa wale uliowalenga, unaweza ukachukua njia ya mkato ukawafukuza nawe ukaendelea na ugaidi wako.Hapo ndipo nchi ilipofikia. Rais mwenye mamlaka kamili hawezi kuachia hili hao ni wa kupewa masaa 24 tu.
wafukuzeni mbona mnazuwia mikutano ya Chadema apo nini kina washinda!This is terrible
hawa jamaa wanakosea sana
Nadhani ingekuwa busara zaidi kama ungewashauri kwanza mjipe masaa 24 ya kutapika misaada yao.Hapo ndipo nchi ilipofikia. Rais mwenye mamlaka kamili hawezi kuachia hili hao ni wa kupewa masaa 24 tu.
Kuna mtu ataingia kwenye MPHao ndio wahisani wenu... Wanaowasaidia mpaka kujenga vyoo.... Kataeni misaada yao tuone kama watasogeza hata ukucha
CCM wanaumia sana wakiona ma diplomat wakifuatilia hii kesi - walitamani iwe kimya kimya ili wafanye yao gizani bila kujua kwamba Dunia sasa hivi ni kijiji.
Boss hanuniwi.Hapo ndipo nchi ilipofikia. Rais mwenye mamlaka kamili hawezi kuachia hili hao ni wa kupewa masaa 24 tu.
WathubutuNadhani ingekuwa busara zaidi kama ungewashauri kwanza mjipe masaa 24 ya kutapika misaada yao.
Hatari snCCM huwa wanaakili za ajabu kweli bila hao wazungu mnaakili ya kujenga hata vyoo vya shule wakiamua kukata misaada yao mtatafutana kwenye makoridi ya rumumba nyambafu sana
HahahaKuna mtu ataingia kwenye MP
Kauli ya kipumbavu kabisa hiiwafukuzeni mbona mnazuwia mikutano ya Chadema apo nini kina washinda!
Mabalozi