Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika ateta na mabalozi walipowasili mahakamani 10-9-2021 katika kesi ya Mbowe

Kubambikiza kesi na kufungwa wapinzani ni desturi ya viongozi wasiokubalika na madikteta!! Mabalozi wanataka kujua uhalali wa ugaidi ama uhujumu uchumi wa kiongozi Mbowe. Kama kesi ni genuine kunashida gani?
 
yani nyie mna juwa sheria za kimataifa tu?
yaani una jaribu kusema mavi ya mwingine ni mavi yako ni chakula?
nyie ccm ni moja wapo ya viumbe wa ajabu walio kufa ila bado mnaishi kama mizimu! wanacho fanya wafuasi wenu ni kutambika tu ndio maana hamjazikwa!
ila hawapo mbali kuwazika na kuwasahau!!
Una matatizo ya Akili Wagi hospitali

huelewi unachoongea

Mimi sio wmanaccm
 
Kumekuwepo na maswali mengi juu ya Wanadiplomasia hawa kujihusisha na Mambo ya Ndani ya Nchi na kwamba wanakiuka mkataba wa Viena waliotia saini mwaka 1961 juu ya maswala ya kuingilia shughuli za ndani za dola nyingine, kuonekana leo kwa Mnyika akitoa maelezo ya mwenendo wa Kesi ya mwenyekiti wa Chadema vinatoa Taswila gani kwa Mamlaka za Tanzania?

View attachment 1931752

View attachment 1931754

View attachment 1931755

View attachment 1931756

View attachment 1931760
Mkifanya maola wasiingilie lakini kuwafuata haohao mabeberu na bakuli kwenda kuombaomba wawasaidie pesa ya walipa kodi wao na wawekezaji wao ni RUKSA sio?! Makubaliano ya hovyo kabisa!
 
Hapo ndipo nchi ilipofikia. Rais mwenye mamlaka kamili hawezi kuachia hili hao ni wa kupewa masaa 24 tu.
Subutu!! Ni Baba wa taifa pekee yake aliyekuwa na uthubutu wa kuwatimua mabalozi wa Ujerumani na Uingereza miaka hiyo ya Musaa!
 
Kumekuwepo na maswali mengi juu ya Wanadiplomasia hawa kujihusisha na Mambo ya Ndani ya Nchi na kwamba wanakiuka mkataba wa Viena waliotia saini mwaka 1961 juu ya maswala ya kuingilia shughuli za ndani za dola nyingine, kuonekana leo kwa Mnyika akitoa maelezo ya mwenendo wa Kesi ya mwenyekiti wa Chadema vinatoa Taswila gani kwa Mamlaka za Tanzania?

View attachment 1931752

View attachment 1931754

View attachment 1931755

View attachment 1931756

View attachment 1931760
Balozi mmoja tu?
Wengine Leo mbona wamekwepa?
Wameona huku mbele sikwenyewe siyo?
 
Hapo ndipo nchi ilipofikia. Rais mwenye mamlaka kamili hawezi kuachia hili hao ni wa kupewa masaa 24 tu.
Wewe umeshaitangazia Dunia kuwa nchi yako kuna magaidi, sasa nao wanahitaji kuwaona hao magaidi wakiwa wamefikishwa Mahakanani kweli na je haki inatendeka kwa hao magaidi ama la. Wakishajiridhisha basi watazishauri nchi zao.

Mkuu hili suala wahusika kwenye nchi yetu ndio waliolikuza na sasa limefikia pabaya. Nchi kama nchi tayari imeshapoteza uaminifu kimataifa. Ingawa bado kuna wapuuzi wachache wanaodhani wako sahihi ktk kubambikia watu kesi. Wameandaa Sumu sasa wameanza kuonja wenyewe. Tusubiri tuone mwisho wake.
 
Hapo ndipo nchi ilipofikia. Rais mwenye mamlaka kamili hawezi kuachia hili hao ni wa kupewa masaa 24 tu.

Kwani wameshiriki kutoa uamuzi wa mahakama au kuizuia mahakama kutimiza wajibu wake?? Au kutaka kujua wenyewe bila kusubiri taarifa za vyombo vya habari (ambavyo vinazuiwa kuripoti taarifa za mwenendo wa kesi) ndio kosa lenyewe?? Hivi unajua hata sheria za ugaidi Tanzania tumekopi kutoka kwao in verbatim?? Vipi kama wanataka kujua jinsi tunavoendesha kesi za ugaidi, nalo ni kosa? Je wametoa matamko yoyote kuashiria kuwa upande mmoja??

Mbona mnawaalika kwenye shughuli zenu nyingine bungeni, kufungua miradi, kwenye maadhimisho ya siku muhimu??

Kaka, ukiwa unafanya jambo zuri huna haja ya kulificha!! Ni jambo ovu tu hufichwa!! Nimeona nikukumbushe hilo.
 
Kumekuwepo na maswali mengi juu ya Wanadiplomasia hawa kujihusisha na Mambo ya Ndani ya Nchi na kwamba wanakiuka mkataba wa Viena waliotia saini mwaka 1961 juu ya maswala ya kuingilia shughuli za ndani za dola nyingine, kuonekana leo kwa Mnyika akitoa maelezo ya mwenendo wa Kesi ya mwenyekiti wa Chadema vinatoa Taswila gani kwa Mamlaka za Tanzania?

View attachment 1931752

View attachment 1931754

View attachment 1931755

View attachment 1931756

View attachment 1931760
Lazima useme,sema nakusikiliza.
 
Hapo ndipo nchi ilipofikia. Rais mwenye mamlaka kamili hawezi kuachia hili hao ni wa kupewa masaa 24 tu.
Tatizo nchi hii, wengi wa wanaCCM na waunga mkono wa kila kitu cha serikali na CCM, akili na uelewa ni mdogo sana.

Kwani Mnyika kuongea na mabalozi, kunakiuka sheria gani, iwe za ndani au za mkataba wa Vienna? Watu wamejaa ujinga mtupu vichwani. Kweli wengi huko CCM inaonekana, ubinadamu wao haukukamilika.

Ule ujinga wa kchezaji akiongea tu na refa uwanjani inakuwa tatizo. Hamjifunzi kwa wenzetu? Mchezaji anaongea na refa, kama amefanya kosa, adhabu ipo pale pale, haibadiliki kwa sababu umeongea na refa.
 
Hapo ndipo nchi ilipofikia. Rais mwenye mamlaka kamili hawezi kuachia hili hao ni wa kupewa masaa 24 tu.

..Kuna kesi ya Khalid Sheikh Mohammed imeanza kule Guantanamo, balozi wetu Marekani anaweza kuhudhuria.

..kuna kesi ya gaidi aliyeua kule Paris imeanza kusikilizwa, balozi wetu Ufaransa anaweza kuhudhuria.

..kwenye Diplomasia huwa kuna " tit-for-tat. " mwenzako akikutendea jambo fulani, na wewe unamtendea jambo lilelile.
 
Baada ya hii comment nilitegemea maada ifungwe kwa kuwa umeongea kitu Cha maana sanaaaa......anyway Mimi nasimama na wewe katika hili.
 
Hapo ndipo nchi ilipofikia. Rais mwenye mamlaka kamili hawezi kuachia hili hao ni wa kupewa masaa 24 tu.[/B]
Hao ndio wahisani wenu... Wanaowasaidia mpaka kujenga vyoo.... Kataeni misaada yao tuone kama watasogeza hata ukucha
Duuuuu!

20210630_154335.jpg
 
Hapo hakuna shida yoyote wao wanafuatilia kupata taarifa ya mwenendo wa kesi, hivyo wanaweza kuipata ama kwa kuhudhuria physically au kuuliza watu walio karibu na kesi hiyo!
Tukumbuke suala hili linagusa sana eneo la demokrasia na wao kuna misaada wanatupa kuimarisha eneo hili, hivyo ni lazima wafuatilie kujiridhisha na namna fedha zao zinavyotumika!
 
Yaani mnataka kusema wameevunja sheria ama viena agreement? Yaani Raia wa nchi kuongelea katiba mpya akamatwe aitwe Gaidi? Leo apelekwee mahakamani kwa paspomsingi wa sababu zozote halafu wanaotoa misaada kwenda kuona jinsi pesa zao znavyokua misused museme wamevunja Agreement? Kumbe Jambazi sio lazma auee etiee!!
 
Back
Top Bottom