Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Wilbload Slaa, akiweka Shada la maua kABURI LA MTOTO WA MANGULA

Tunashukuru ushauri wetu hapa JF amauzingatia , Tulimshauri jinsi ya kuchagua cha kuvaa kulingana na Tukio na umuhimu wa kuhudhuria Matukio yanayogusa Jamii. Kuna watu walituponda kumbe Mwenyewe kazingatia Ushauri!
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Rais wa wanyonge, mtu mwenye hekima mtiifu wa moyo,

Homgera Dr Slaa kwakuonyesha utu wako

OK SIKU HIZI KUNA ATA raisi wa wasafi na Raisi wa vyuo vikuu.
umeona hafai kuwa mgombea uraisi , mpaka unampa cheo kingine au unamghombea wako
 
Acha upuuzi wewe kijana, Kwani hao uliwataja hapo sio binadamu? Babu aache unafiki, na uzee wote huo, badala atubu dhambi zake maana yuko kwenye mstari wa mwisho lakini ndio kakazana kupora wake za watu!
Nani kakupa mamlaka makubwa namna hiyo ya kuhukumu kiroho?

Vp mzee, kakuchukulia mkeo nini..?
Ushauri: Acha povu!!
 
kama wewe ni mkatoliki hujakosea kabisa, coz tanzania tuna rais mmoja tu, kwani hukusikiaga hata kongo wakatoliki walikuwa na matokeo yao ya urais tofauti na yale yalomtangaza kabila

Slaa ndie rais wangu.....that's great of him.
 
Ingekuwa Zitto; Msaliti ; Je huyu
Zamani alikuwa ahudhulii mpaka tulipomsema JF.
JF NI MSHAURI MZURI

Usihukumu wenzako, jitazame kwanza wew kabla hujahukum wenzio, wew mwenye kuhudhulia msibana yaweza kuwa nawakilishwa na wengne tu.
 
Back
Top Bottom