muongozaji
JF-Expert Member
- Oct 9, 2009
- 1,386
- 999
Feedback...
Dah! Aiseeee! Kumbe hata nyie wana CHADEMA mmeliona hili!
Heshima ya kukiuka kanuni na taratibu za chama pia!!Mzee Edo lazima apewe heshima yake chamani....amejitolea kwa mali nyingi sana.
Huyo ni kada mwenzio badala ya kuandika kuwa kada wa ccm akaandika chadema hana tofauti na wanaojibadilisha jinsiaDah! Aiseeee! Kumbe hata nyie wana CHADEMA mmeliona hili!
Alichoongea kina ukweli?Huyo ni kada mwenzio badala ya kuandika kuwa kada wa ccm akaandika chadema hana tofauti na wanaojibadilisha jinsia
Umesahau pia kuwa Lowasa kanunua chama
NonsenseHili kimedhihiri jijini Arusha wakati Lowassa akiongea na Mameya wa Majiji, Miji na Halmashauri zinazoongozwa na CHADEMA. Yaani hakika nilistaajabu sana. Eti Edward Mbona polisi hawakumzuia? CHADEMA na BAVICHA yake nafikiri sasa mard Lowasa, Mjumbe wa Kamati Kuu ndiye anakuwa mgeni Rasmi ilhali Mwenyekiti wetu Mbowe yupo. Ijapokuwa Mbowe hakuwepo kwenye kikao hicho, nilimuona Katibu Mkuu wetu Dr Vicent Mashinji akiongea kwa lugha ya upole kabisa kama anafanya doagnosis kwa mgonjwa.
Yaani Katibu kapwaya sana na sijajua mpaka sasa sifa zilizomshawishi Mwenyekiti wangu Mbowe mpaka akapendekeza jina la Katibu Mkuu dhaifu kama huyu. Anaongea taratiiiibu na hata kama mtu anaharibu mbele yake, anamuacha tu anaharibu na hamkemei. Mathalani, wakati Lowassa anatoa tamko kuwa CHADEMA sasa kimegraduate kutoka kikundi cha harakati na kuwa chama cha siasa, Dr Mashinji alikuwa anamuangalia tu na hakuchukua hatua yoyote. Nilimuona alipoa kabisa tena nimemuona akipiga makofi kuonesha kuwa anachosema Lowassa ni sahihi.
Hakika nawaambia. Tukiendelea na huyu jamaa chama chetu kitapotea sana. Nasikia CCM wana mpango wa kumpa Mangula kuwa Katibu Mkuu. Sasa linganisha Mangula na huyu muigizaji wetu wapi na wapi. Lazima tuisome namba. Ni wakati sasa wa kubadilika na kumshinikiza Mbowe abadili gia angani kwa kutengua uteuzi wa Dk Mashinji.
Katibu chadema changamka, mbona sifa unazo 100%Mi nilijua hakuna katibu mkuu kumbe yupo? Ameanza kuhudumu link?
Hizo sifa unazosema ni zipi?Katibu chadema changamka, mbona sifa unazo 100%
Hili kimedhihiri jijini Arusha wakati Lowassa akiongea na Mameya wa Majiji, Miji na Halmashauri zinazoongozwa na CHADEMA. Yaani hakika nilistaajabu sana. Eti Edward Mbona polisi hawakumzuia? CHADEMA na BAVICHA yake nafikiri sasa mard Lowasa, Mjumbe wa Kamati Kuu ndiye anakuwa mgeni Rasmi ilhali Mwenyekiti wetu Mbowe yupo. Ijapokuwa Mbowe hakuwepo kwenye kikao hicho, nilimuona Katibu Mkuu wetu Dr Vicent Mashinji akiongea kwa lugha ya upole kabisa kama anafanya doagnosis kwa mgonjwa.
Yaani Katibu kapwaya sana na sijajua mpaka sasa sifa zilizomshawishi Mwenyekiti wangu Mbowe mpaka akapendekeza jina la Katibu Mkuu dhaifu kama huyu. Anaongea taratiiiibu na hata kama mtu anaharibu mbele yake, anamuacha tu anaharibu na hamkemei. Mathalani, wakati Lowassa anatoa tamko kuwa CHADEMA sasa kimegraduate kutoka kikundi cha harakati na kuwa chama cha siasa, Dr Mashinji alikuwa anamuangalia tu na hakuchukua hatua yoyote. Nilimuona alipoa kabisa tena nimemuona akipiga makofi kuonesha kuwa anachosema Lowassa ni sahihi.
Hakika nawaambia. Tukiendelea na huyu jamaa chama chetu kitapotea sana. Nasikia CCM wana mpango wa kumpa Mangula kuwa Katibu Mkuu. Sasa linganisha Mangula na huyu muigizaji wetu wapi na wapi. Lazima tuisome namba. Ni wakati sasa wa kubadilika na kumshinikiza Mbowe abadili gia angani kwa kutengua uteuzi wa Dk Mashinji.
Mwisho wa siku kuna shida au ni mzee wa mikakati maana kweli amekaa kimya sana. Huenda anaunda timu yake na anajipika kuiva zaidi kisiasa. Apewe muda.Alichoongea kina ukweli?
Hili kimedhihiri jijini Arusha wakati Lowassa akiongea na Mameya wa Majiji, Miji na Halmashauri zinazoongozwa na CHADEMA. Yaani hakika nilistaajabu sana. Eti Edward Mbona polisi hawakumzuia? CHADEMA na BAVICHA yake nafikiri sasa mard Lowasa, Mjumbe wa Kamati Kuu ndiye anakuwa mgeni Rasmi ilhali Mwenyekiti wetu Mbowe yupo. Ijapokuwa Mbowe hakuwepo kwenye kikao hicho, nilimuona Katibu Mkuu wetu Dr Vicent Mashinji akiongea kwa lugha ya upole kabisa kama anafanya doagnosis kwa mgonjwa.
Yaani Katibu kapwaya sana na sijajua mpaka sasa sifa zilizomshawishi Mwenyekiti wangu Mbowe mpaka akapendekeza jina la Katibu Mkuu dhaifu kama huyu. Anaongea taratiiiibu na hata kama mtu anaharibu mbele yake, anamuacha tu anaharibu na hamkemei. Mathalani, wakati Lowassa anatoa tamko kuwa CHADEMA sasa kimegraduate kutoka kikundi cha harakati na kuwa chama cha siasa, Dr Mashinji alikuwa anamuangalia tu na hakuchukua hatua yoyote. Nilimuona alipoa kabisa tena nimemuona akipiga makofi kuonesha kuwa anachosema Lowassa ni sahihi.
Hakika nawaambia. Tukiendelea na huyu jamaa chama chetu kitapotea sana. Nasikia CCM wana mpango wa kumpa Mangula kuwa Katibu Mkuu. Sasa linganisha Mangula na huyu muigizaji wetu wapi na wapi. Lazima tuisome namba. Ni wakati sasa wa kubadilika na kumshinikiza Mbowe abadili gia angani kwa kutengua uteuzi wa Dk Mashinji.
Sio kajitolea wewe, ameuziwaMzee Edo lazima apewe heshima yake chamani....amejitolea kwa mali nyingi sana.