Asiye na Chama
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 1,268
- 653
Siyo roho mbaya mkuu ni ukweli, kwa sababu wananchi wengi hawajui haki zao za msingi kwa kuwa elimu hakuna!acha roho mbaya mkuu
Siyo roho mbaya mkuu ni ukweli, kwa sababu wananchi wengi hawajui haki zao za msingi kwa kuwa elimu hakuna!acha roho mbaya mkuu
Mwenyekiti wa CCM, ambaye ni Rais Magufuli, amepiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa, ya nje na ya ndani, na shughuli zote za vyama vya siasa. Hii ni kinyume na Katiba aliyoapa kuilinda, na ni kinyume cha Sheria ya vyama vingi. Katiba ya CCM inasema:Dah..ni wazi watu wanapata taabu sana....yaani CCM ni chama cha ukandamizaji????!!! Ukandamizaji kwanani???Katiba ya CCM inasemaje???!! Yaani watu wachache ambao ni CCM wakiwa ni wala rushwa kwa hiyo CCM ni chama kinachounga mkono rushwa???!!
Mimi nikiona tu habari zao huwa natapika kabisa.Asante kwa taarifa, wenzangu na mm hbr za CCM tunazipata hapa jukwaani tu. Kwenye TV au redioni nikisikia/kuona hbr za CCM ninahisi kama luku yangu inaisha. Thanks once again!
Kabadilika kaikanyaga misimamo alokuwa akijivunia zamani. Ndio cpmment yake.Ni mtazamo wako mleta mada! Hawezi kuwa utakavyo wewe.
Una uhakika au nyie mitaa yenu huko ndo mmeshiba?Ukifuatilia siasa ktk jf unaweza sema mtaani kuna shida, kumbe raia mtaani wako na amani na wanamkubali mno rais wao. Chadema wamewekeza kwa vijana humu jf waeneze propaganda mbovu, kizuri uhalisiani yaani uraiani, wananchi wanawapuuza.
Tanzania hamna vyama vya siasa kwa sababu huko upinzani ni CCM B
Mitaani ninakopita, vijijini waliko ndugu, jamaa na marafiki wanaishi kwa amani na kujadili chochote wapendacho bila bughdha yoyote.Mtaa gani kuna amani? Labda mitaa ya mbinguni. Umekaa na kina Nani mitaani ukaona wana amani! Au hujui amani ni nini?
Uraiani wapi huko mkuu na utafiti upi umefanya?? Unajua shida ya sisi Tanzania hatujui kazi za serikali na upinzani sasa nani kasema Rais akikubalika ndio upinzani haukubaliki si kila mtu anafanya kazi yake na wala hazitegemeani ndio maana obama na kukubalika kote ila ubunge aliangushwa same case kwa clinton sasa cjui hii theory ya kusema Rais akiongezeka approval ratings basi upinzani umekwisha zinatoka wapi
Kingine kipimo pekee huwa ni chaguzi huru na haki hapo ndio mnapima chama gani kinakubalika na mkitaka majibu ya haya mkubali tume huru kama ilivyopendekezwa na Tume ya warioba ili ukweli uwe wazi ila haya mambo ya kuleta kejeli humu wakati field mnafanya uhuni kwenye chaguzi mnashangaza sana
Kejeli hizi zitapendeza kama mtashinda chaguzi huru na haki otherwise mnageuka vituko tu
Wachache wapo wanaolalamika kuhusu kila kitu.Una uhakika au nyie mitaa yenu huko ndo mmeshiba?
Sidhani kama umemuelewa vizuri Marehemu Prof.Nimemsikiliza Dr. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM, akiongea na Vyombo vya habari. Pamoja na kutumia usomi wake kutetea "sera" za CCM, ikiwa ni pamoja na zile za kupora viongozi wa upinzani, ametumia nafasi hiyo pia kujitutumua kwa kutumia mgongo wa Marehemu Profesa Samir Amin, Mungu amweke mahali pema peponi.
Dr. Bashiru alianza kwa "kutangaza" habari za kusikitisha za kifo cha nguli huyo wa siasa za kimapinduzi Afrika na Dunia nzima, na kupenyeza kwamba alipigiwa simu na Profesa Issa Shivji. habari hiyo fupi ilikuwa hasa na lengo la kujinasibisha na Msomi huyo, ambaye kwa bahati mbaya yale ambayo aliyasimamia ni tofauti kabisa na yale ambayo Dr. Bashiru anayasimamia kwa sasa. Profesa Samir amedumu na misimamo yake mpaka kifo kimemkuta, wakati Dr. Bashiru, ambaye alishiriki kumwalika Profesa Samir kuwa Kigoda cha mwalimu Nyerere mwaka 2010, akishirikiana na Profesa Issa Shivji, amesaliti kile alichokiamini, angalau hadharani, na kukimbilia kutumikia Chama ambacho kinasimamia ukandamizaji, uporaji wa haki, rushwa, utesaji na mengine maovu zaidi. Mchambuzi mmoja ana mweleza Profesa Samir kama ifuatavyo:
"Amin believed that the world capitalism – a rule of oligopolies based in the rich world – maintains its rule through five monopolies – control of technology, access to natural resources, finance, global media, and the means of mass destruction. Only by overturning these monopolies can real progress be made." [Rejea hapa]
Sasa CCM ndiyo inasimamia hayo hayo ambayo Profesa Samir alipinga na alihubiri yang'olewe ili kuleta maendeleo ya kweli ya wanyonge. CCM kupitia serikali yake inakandamiza vyombo vya habari, inakandamiza mitandao, Badala ya kutumia rasilimali za nchi kwa masilahi ya taifa zima, tunashuhudia watanzania wakiishi maisha magumu kutokana na mipango isiyoeleweka na isiyokuwa na vipaumbele vya kitaifa, bali kufuata matakwa ya mtu mmoja vile anavyojisikia. Kauli ya Rais Magufuli ndiyo sheria. Serikali ya CCM inasimamia uvunjaji wa sheria na katiba ya nchi, kwa kuvuruga mfumo wa vyama vingi.
Kimsingi CCM siyo tena chama cha siasa, kwa sababu haiwezi kusimama wala kufanya siasa bila kutumia Polisi, vyombo vya serikali, wateule wa Rais waliosambaa nchi nzima, ambao kwa kweli ni watumishi wa umma ambao hawatakiwi kuwa upande wa chama cha siasa
Kwa kumrejea Marehemu Profesa Samir Amin, Dkt Bashiru Ally anakusudia kuhalalisha usomi wake na hivyo kuutumia usomi huo kuhalalisha yale yanayoendelea hapa nchini.
Bashiru na wakubwa wake katika CCM wanajidanganya. Bashiru anajisahaulisha kwamba HUWEZI KUIDANGANYA HISTORIA.
Tanzania hamna vyama vya siasa kwa sababu huko upinzani ni CCM B
Nyonyo la mzazi wako likikuisha utaelewa Tanganyika inakoelekeaUkifuatilia siasa ktk jf unaweza sema mtaani kuna shida, kumbe raia mtaani wako na amani na wanamkubali mno rais wao. Chadema wamewekeza kwa vijana humu jf waeneze propaganda mbovu, kizuri uhalisiani yaani uraiani, wananchi wanawapuuza.
Mwenyekiti wa CCM, ambaye ni Rais Magufuli, amepiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa, ya nje na ya ndani, na shughuli zote za vyama vya siasa. Hii ni kinyume na Katiba aliyoapa kuilinda, na ni kinyume cha Sheria ya vyama vingi. Katiba ya CCM inasema:
"Kuona kwamba kwa kutumia Vikao vilivyowekwa, raia anayo haki ya kushiriki kwa ukamilifu katika kufikia uamuzi wa mambo ya Taifa na yanayomhusu, na kwamba anao uhuru wa kutoa mawazo yake, wa kwenda anakotaka, wa kuamini Dini anayotaka na kukutana na watu wengine,maadamu havunji Sheria au Taratibu zilizowekwa"
Kwa hiyo kwa kupiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa, Magufuli anavunja pia katiba ya CCM. sasa unauliza kwamba akifanya mtu mmoja ndiyo imefanya CCM? kama anafanya Mwenyekiti wa CCM, kwa niaba ya CCM, na wanaccm wanamuunga mkono kama unavyofanya, basi ni CCM imefanya, japo hakuna kikao cha CCM kilichopitisha haya.
Pia Serikali ya CCM kwa kutumia Polisi, inaendesha ubabe na ukandamizaji. kwa kuwa anayeunda serikali ni chama cha CCM, anayefanya hayo hajakemewa na CCM, na bado ni CCM itakayorudi kwa wananchi, basi ni CCM inayowajibika
Kabla ya kukejeli ni vyema ukawa mchambuzi wa mambo ya kisiasa na maendeleo japo kidogo tu.Nimemsikiliza Dr. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM, akiongea na Vyombo vya habari. Pamoja na kutumia usomi wake kutetea "sera" za CCM, ikiwa ni pamoja na zile za kupora viongozi wa upinzani, ametumia nafasi hiyo pia kujitutumua kwa kutumia mgongo wa Marehemu Profesa Samir Amin, Mungu amweke mahali pema peponi.