Zawadini
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 3,048
- 2,267
Kabla ya kukejeli ni vyema ukawa mchambuzi wa mambo ya kisiasa na maendeleo japo kidogo tu.
Hakika hujui kama yanayotekelezwa na Serikali inayoongozwa na Dr Magufuli yako kwenye Sera na Ilani ya Uchaguzi ya CCM. Yaliyomo kwenye vitabu hivyo ni mnyambulisho wa Dira ya Taifa ya Maendeleo hadi 2025 "Development Vision 2025".
INGEPENDEZA pia ukaweka mlinganisho wa Sera na Ilani za Uchaguzi za vyama vingine vya siasa, kama zina mwelekeo wenye tija ya maendeleo ya Taifa hili.
Tuache kuwaza kikasuku.
Nimekuelewa mkuu. Kiswahili nacho kigumu kumbe! Mimi nimesema watu hawa wanalingana/wanafanana. Sijazungumza yanayotekelezwa na CCM. Wacha jazba. Humu jamvini hamtaki jazba. Utaumia mkuu.Kabla ya kukejeli ni vyema ukawa mchambuzi wa mambo ya kisiasa na maendeleo japo kidogo tu.