Katibu Mkuu wa CCM Dr. Bashiru Ally wana wa nchi tunasubiri kauli yako

Lituye

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
912
Points
1,000

Lituye

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
912 1,000
Dr. Bashiru Ally wana wa nchi hii tunakukumbuka ulivyo kuwa Mahiri kudadavua Mada mbalimbali za Siasa Wakati huo ukifundisha Chuo kikuu UDSM kiasi Kwamba ikakujengea jina na kupata umaarufu ndani na nje ya nchi.

Nakumbuka kauli yako ulipo hojiwa na azam TV kuhusu katiba mpya bila kupepesa macho wala Kung'ata maneno Ulisema swala la Katiba mpya halina mjadala. Tulipo fikia ni lazima tuwe na katiba ya wananchi itakayoenda na wakati huu.

Lakini pia Nakumbuka kauli yako zilipo fanyika chaguzi ndogo za marudio za ubunge hivi karibuni ulisema kuwa CCM walitumia moja ya Utanzu wa kazi ya sanaa ktk Fasihi ambayo ni Maagizo na vichekesho na hivyo basi uchaguzi huo ukafana sana kwa mbinu ya Maagizo na vichekesho vilivyo tumika.

Hivi karibuni Novemba mwaka ulioisha Nasikia kulikuwa na uchaguzi wa Serikali za mitaa. Tunaona upo kimya Katibu mkuu wetu Dr. Bashiru kutujuza kuhusu uchaguzi huo. Tujuze tuu mkuu je, uchaguzi huu wa serikali za mitaa CCM walitumia Utanzu wa Ngojera, au Riwaya, au Ngano ?

Halafu ikibidi kwa maoni yako Tunaomba utujuze na uchaguzi mkuu ujao je CCM unavyo waona atatumia tena Utanzu gani wa Sanaa ktk uchaguzi huo ? Je watatumia hadith, au Ushairi au Comedi ?

Ni hayo tuu ndugu Bashiru Ally kwa leo tutaonana mwezi October 2020.

Maendeleo hayana vyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lituye

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
912
Points
1,000

Lituye

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
912 1,000
Kiwango cha wapumbavu kinazidi kuongezeka siku hadi siku

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kiwango cha wapumbavu kinaongezeka ujue huo ndio mtaji wa CCM na wanafanya hivyo kimkakati ili wapumbavu waongezeke na watawaliwe kirahisi.

Huoni wananunua Ndege kwa Cash halafu wanafunzi wamefaulu darasa la saba lakini hakuna shule za kuwapeleka ? Wanafanya Makusudikali ili wajinga waongezeke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
impongo

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Messages
7,189
Points
2,000

impongo

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2015
7,189 2,000
Kama kiwango cha wapumbavu kinaongezeka ujue huo ndio mtaji wa CCM na wanafanya hivyo kimkakati ili wapumbavu waongezeke na watawaliwe kirahisi.

Huoni wananunua Ndege kwa Cash halafu wanafunzi wamefaulu darasa la saba lakini hakuna shule za kuwapeleka ? Wanafanya Makusudikali ili wajinga waongezeke.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga ndio mtaji mkubwa wa CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Messages
5,070
Points
2,000

Benny Haraba

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2012
5,070 2,000
Kama kiwango cha wapumbavu kinaongezeka ujue huo ndio mtaji wa CCM na wanafanya hivyo kimkakati ili wapumbavu waongezeke na watawaliwe kirahisi.

Huoni wananunua Ndege kwa Cash halafu wanafunzi wamefaulu darasa la saba lakini hakuna shule za kuwapeleka ? Wanafanya Makusudikali ili wajinga waongezeke.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapumbavu waliozibwa midomo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,389,914
Members 528,056
Posts 34,038,496
Top