Katibu Mkuu UN: HAMAS wana haki ya kuwapiga Israel

Wewe choko toka nikukatalie kukutatua malinda umekua na hasira sana na mimi,situmii machoko mimi,jaribu kutafuta mtu mwingine akukoboe.
Huu muda wa kuandika upupu nyuma ya keyboard ungeutumia kuwasaidia the so called ndugu zako huko gaza maana
wanazidi kuchakazwa na myahudi.
Na this time he doesn’t play around.
 
Katika hotuba yake akidai ukiukwaji wa Sheria za Kimataifa za Kibinadamu, Gutteres alisema: "Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya HAMAS hayakutokea bila sababu. Watu wa Palestina wamekuwa wakikaliwa kwa mabavu si chini ya miaka 56." Mwisho wa kunukuu.
Huu ni ukweli mchungu.
 
Story za Mtaani zipi wajua Israel aliichukua Ardhi ya Gaza na Sinai kwa Mtutu Wakaelewana na Egypt akaiachia Sinai na Gaza kwa Mamlaka ya Egypt ila Egypt akaikataa Gaza.. so Israel akaitawala Gaza hadi 2014 Mkataba wa Oslo... Gaza ikawa chini ya Mamlaka ya PLO Palestinian Administrations ukaja Uchaguzi Hamas wakauteka na kuchukua Mji... Wakaja na Slogan ya kuchinja chinja Wayahudi wote katika ardhi ya Judea... mziki ndio ukaanza hapo ila palikuwa shwari kabisa waisrael waliujenga mji huo na walipoondika walilia sana Machozi.. na kumlaani Waziri mkuu wakati ule Yitzack Rabin masikini raia mmoja wa Israel alimpiga risasi kwa machungu Waziri Mkuu. So unapoitetea Hamas unakuwa unaungana nao katika Slogan ya Ku wa Sloughter Jews and Christians sababu wana Fallows Qoran... hakuna cha Freedom fighters pale ni Magaidi tu na wameuthibitishia ulimwengu kuwa dhamira yao ni hiyo hivyo na wewe kaa upande wa Allah ule Kichapo ukitishia Uhai wa Jews na Christians utapata unachotaka kukipata... Marekani huwa wanasema Mpige mapema anayetaka kukuua... Gazan are deadman tulia tu kwenye TV uenjoy...
 
Attachments

  • Screenshot_20231028-121811_WhatsAppBusiness.jpg
    Screenshot_20231028-121811_WhatsAppBusiness.jpg
    196.9 KB · Views: 2
Hadi siku Yesu anapaa mbinguni kulikuwa hakuna dini inayoitwa ukristo Wala vitabu vyenu vya wakolintho na wagalatia mmeingizwa chaka na Wazungu

Kama wewe unataka kumfuata Yesu haya ndio alivyokuwa anayafanya Yesu katika maisha yake yote hapa duniani

Luka 4:16
Akaenda Nazareti, hapo alipolelewa; na siku ya sabato akaingia katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama ili asome.

Na alipikuwa anafanya Ibada kumuomba Mungu wake alikuwa anasujudu

Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.

Sasa kama wewe kweli unataka kumfuata Yesu unatakiwa uingie msikitini na ukisali usujudu kama Yesu

Ila kama unawafuata wazungu nenda kanisani
Wafuasi wa tapeli muddy mnachekesha Sana. Sasa wewe mwenyew umenukuu Yesu aliingia katika sinagogi na kusujudu harafu unasema ukitaka kumfuata Yesu unatakiwa uingie Msikitini 😂😂😂😂
 
Katika hotuba yake akidai ukiukwaji wa Sheria za Kimataifa za Kibinadamu, Gutteres alisema: "Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya HAMAS hayakutokea bila sababu. Watu wa Palestina wamekuwa wakikaliwa kwa mabavu si chini ya miaka 56." Mwisho wa kunukuu.

Weka hiyo video clip. Vinginevyo tunawajua wazee wa kuplay victims.
IMG_4087.jpg
 
Mimi ni mkristo, ila sijawai kuwa na aina ya mawazo kama wengine khs Israel, naona ni taifa kama taifa tu kama Tz tu...mambo ya Taifa teule nimekataa kabisa...Mungu ni wa wote wamfuatao.
Ni kweli wew Ni mkristo? Mbona hujui taifa la Mungu ,kiufupi hujui usemacho wakristo tunajitambua na tunajitambua taifa la Israeli
 
Halafu eti israel inamshutumu na kutaka ajiuzulu wakati kawapa ukweli wao, hata paka ukimfungia chumbani ili umuue lazima apambane hutomuua kizembe it will fight back
Hakuna taifa linalokaliwana Israel somen biblia na sio Quran ,Hilo taifa Lina mipaka ilowekwa na Mungu mwenyewe .hao wanaojiita wapalestina hawapo hawana taifa
 
Katika hotuba yake akidai ukiukwaji wa Sheria za Kimataifa za Kibinadamu, Gutteres alisema: "Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya HAMAS hayakutokea bila sababu. Watu wa Palestina wamekuwa wakikaliwa kwa mabavu si chini ya miaka 56." Mwisho wa kunukuu.
🤣🤣🤣🤣 Kama vipi waendelee kutandikwa tu
 
Ni kweli wew Ni mkristo? Mbona hujui taifa la Mungu ,kiufupi hujui usemacho wakristo tunajitambua na tunajitambua taifa la Israeli
Kwanini usitambue Vatican huko kwenye 100% christian uje kutambua Israel yenye 2% christian..
Afu kuna wakti UJUE UCHAWA UTAWAUA MNAJIPENDEKZA MPAKA MNABOA..
Israel ilipitisha sheria Juzi juzi ya kuua wakristo Nchini kwao kwamba ukiwa mkristo umevunja sheria nayo pia unasemaje?
 
Kumbe wagalatia hua wanadhani kua waisrael "Jews'' ni wakristo?
Ukweli mchungu. Mwaarabu humchukulia mwafrika mweusi muislmu ni mtumwa wake ndiyo maana hawezi kumfanyia jambo la maendeleo kwasababu ni mtumwa na mtumwa haistaili maisha mazuri.
  • Mwaarabu hawezi kuwajengea shule muislamu mweusi kwasababu ni mtumwa. Kipindi waarabu waislamu wanafanya biashara ya watumwa na pembe za ndovu hawakujenga shule, vyuo au vyuo vya ufundi mpk sasa.
  • Mwaarabu hawawezi kumjengea muislamu mweusi hospitali. Mtumwa haistaili maisha mazuri.
Mtumwa mwaafrika wa kiislamu anatajengewa msikiti, atawapa Quran, kuchimbiwa kisima cha kujitawazia, kupewa tende na maji ya zamzam.
Mfano hai
Gadhafi alipokuja Tanzania, alijenga msikiti na siyo shule au hospital
DP World amewajengea msikiti mkubwa Mbeya na siyo hospitali
Waislamu wafrika huona waarabu ni ndugu zao kumbe ni watumwa wao
 
Kwanini usitambue Vatican huko kwenye 100% christian uje kutambua Israel yenye 2% christian..
Afu kuna wakti UJUE UCHAWA UTAWAUA MNAJIPENDEKZA MPAKA MNABOA..
Israel ilipitisha sheria Juzi juzi ya kuua wakristo Nchini kwao kwamba ukiwa mkristo umevunja sheria nayo pia unasemaje?
Mbona waislamu wakiafrika huona waarabu ni ndugu zao wakati ni watumwa wao?
Muislamu muafrika ni mtumwa wa Mwaarabu na mtumwa haistahili maisha mazuri.
Mwaarabu huwajengea msikiti, kuwapa Quran, kuwachimbia kisima cha kujitawazia, kuwapa tende na maji ya zamzam. Haya ndiyo anatakiwa apewe mtumwa wa muislamu mwaafrika na siyo kujengewa hospital, shule, vyuo vya ufundi au kupewa mikopo ya kuwawezesha.
Mfano hai
Gadhafi aliwajengea watumwa msikiti mkubwa ila hakujenga shule au hospitali. Kwanini?
DP World, inashindwa kuwajengea hospital? Ila inawajengea msikiti. Ukimaliza kuswali nini kinafuata?
 
Katika hotuba yake akidai ukiukwaji wa Sheria za Kimataifa za Kibinadamu, Gutteres alisema: "Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya HAMAS hayakutokea bila sababu. Watu wa Palestina wamekuwa wakikaliwa kwa mabavu si chini ya miaka 56." Mwisho wa kunukuu.
Ndiyo wachukue mpk mateka? Hii dharau ilidhidi kipimo
 
Back
Top Bottom