Gutteres UN: Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya Hamas hayakutokea bila sababu

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,998
32,441
Wanaukumbi.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Gutteres, katika hotuba mapema Jumanne.

Gutteres alisema: "Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya Hamas hayakutokea bila sababu. Watu wa Palestina wamekuwa wakikaliwa kwa mabavu si chini ya miaka 56."

Lakini malalamiko ya watu wa Palestina hayawezi kuhalalisha mashambulizi ya kutisha ya Hamas. Na mashambulizi hayo ya kutisha hayawezi kuhalalisha adhabu ya pamoja ya watu wa Palestina,” alisema. Waisrael hawataki kuambiwa ukweli wanataka Guterres ajiuzulu.

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan naye amesema Hamas ni kundi la ukombozi linaloendesha vita kulinda ardhi yake.

In an address to the U.N. Security Council, Guterres said it was important to recognize that “the attacks by Hamas did not happen in a vacuum,” and that the Palestinian people have been subjected to “56 years of suffocating occupation.” He also condemned unequivocally the “horrifying and unprecedented” acts of terror by Hamas, and “the grievances of the Palestinian people” cannot justify them.

The comments caused an uproar in Israel, with the country’s foreign minister and permanent U.N. representative calling for Guterres to resign.

Attachments

  • IMG_5370.jpeg
    IMG_5370.jpeg
    71.8 KB · Views: 3
Muhimu ujumbe umefika wewe Muisrael wa Rombo huwezi kujua kitu kawasilkilize Waisrael wenyewe wanatokwa na mapovu.
Wewe Mfaidhina wa Palestina, nenda kainue kalio juu umuombe ala awasaidie Palestine kuepukana na kichapo.
 
Ametekeleza jukumu lake kama kiongozi wa jumuiya ya kimataifa.Sio kama Koffi Annan alivyoitikia hewala wakauliwa wairaq kwa maelfu.
 
Hivi peace keepers huwa ni kwa ajili ya congo na Darfu tu? Si wapitishe resolution wapeleke vikosi vya jw( jeshi la Tanzania) likalinde amani wanajeshi WETU wakirudi na hela wanunue Nissan dualis au vanguard wahonge na watoto wa chuo kupandisha uchumi wetu
 
Gutteres kasema kweli.

Ugaidi ni mbaya na unatakiwa kupingwa. Hamas walichofanya ni vibaya sana.

Ila, ukianza kuangalia mambo bila muktadha mkubwa wa historia unakuwa sehemu ya tatizo.

Gutteres is right. Israel wanatawala kwa mabavu. Enzi za kutawala kimabavu zimeisha.
 
Baada ya shambulio hili la Hamas UN wasimamie kupatikana taifa la Palestina kwa kukumbusha maazimio yote yaliyofikiwa juu ya suala hilo. Hakuna tena hadithi na danganya toto ya Israel.

Wasipofanya hivyo Hamas au wengine watavizia kufanya kama hivyo miaka ijayo na wasijelaumiwa tena.
 
Wanaukumbi.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Gutteres, katika hotuba mapema Jumanne.

Gutteres alisema: "Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya Hamas hayakutokea bila sababu. Watu wa Palestina wamekuwa wakikaliwa kwa mabavu si chini ya miaka 56."

Lakini malalamiko ya watu wa Palestina hayawezi kuhalalisha mashambulizi ya kutisha ya Hamas. Na mashambulizi hayo ya kutisha hayawezi kuhalalisha adhabu ya pamoja ya watu wa Palestina,” alisema. Waisrael hawataki kuambiwa ukweli wanataka Guterres ajiuzulu.

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan naye amesema Hamas ni kundi la ukombozi linaloendesha vita kulinda ardhi yake.

In an address to the U.N. Security Council, Guterres said it was important to recognize that “the attacks by Hamas did not happen in a vacuum,” and that the Palestinian people have been subjected to “56 years of suffocating occupation.” He also condemned unequivocally the “horrifying and unprecedented” acts of terror by Hamas, and “the grievances of the Palestinian people” cannot justify them.

The comments caused an uproar in Israel, with the country’s foreign minister and permanent U.N. representative calling for Guterres to resign.

kwahiyo anaona ni sawa kushambulia raia wema kama njia ya kuelezea ulimwengu matatizo yako? huyu hapaswi kuwepo kundin , ni gaidi pia
 
Muhimu ujumbe umefika wewe Muisrael wa Rombo huwezi kujua kitu kawasilkilize Waisrael wenyewe wanatokwa na mapovu.
kwahiyo nkitoka nkaenda kariakoo nkapiga raia shaba na mapanga kisa nmevunjiwe nyumba na serikali ya ccmu , je ni sw ?
 
Nasikka wawakilishi wa Israel UN wamewasha moto wakidai jamaa ajiuzulu kwa kauli aliyoitoa inayoonyesha kusapoti Hamas
huez sema ni sahihi kuua raia kisa una malalamiko yako , huu ni ujinga kbs
 
Ametekeleza jukumu lake kama kiongozi wa jumuiya ya kimataifa.Sio kama Koffi Annan alivyoitikia hewala wakauliwa wairaq kwa maelfu.
ni sahihi kuua raia wema kisa una malalamiko yako kwa serikali
 
Hivi peace keepers huwa ni kwa ajili ya congo na Darfu tu? Si wapitishe resolution wapeleke vikosi vya jw( jeshi la Tanzania) likalinde amani wanajeshi WETU wakirudi na hela wanunue Nissan dualis au vanguard wahonge na watoto wa chuo kupandisha uchumi wetu
wana ubavu wa kusogeza pua huko?
 
He is correct, although the UN itself is like The League of Nations! The big toothless dog. It is only barking with no actions.
 
Gutteres kasema kweli.

Ugaidi ni mbaya na unatakiwa kupingwa. Hamas walichofanya ni vibaya sana.

Ila, ukianza kuangalia mambo bila muktadha mkubwa wa historia unakuwa sehemu ya tatizo.

Gutteres is right. Israel wanatawala kwa mabavu. Enzi za kutawala kimabavu zimeisha.
yote yanayowakuta wapalestina ni matokeo ya ujinga wao , kwann walishindwa kuunda nchi mwaka 1948 badala yake wakawekeza nguvu kuwatumikia waarabu kulifuta taifa la israel , wenzao wamepambana kuunda serikali yao leo tuna ona matokeo
 
Back
Top Bottom