Katibu Mkuu mpya CHADEMA yuko wapi?

Katibu Mkuu mpya CHADEMA yuko wapi?

Chama ni kikubwa sana,ni wazi alikuta mambo mengi ofisini ya kufanya.pia kwasababu hakuwepo kwenye circle ya uongozi wa chama kuna mabo mengi ya kujifunza,na sio aanze kukurupuka tu na kuanza kutoa matamshi magazetini ilimradi tu aonekane yupo.Binafsi ninamuamini sana Mbowe,ni mwanasiasa na mwana mikakati makini sana.Bila mbowe siasa za upinzani nchini zingekuwa zimekufa au za hovyo za kubweka tu magazetini na sio mikakati ya kuchukua nchi.Ushauri wangu mkubwa kabisa kwa katibu mkuu,yeye afanye kazi moja,kukijenga chama ngazi ya chini kabisa,kuhakikisha chama kina ofisi na watendaji kila kijiji/mtaa,kwasababu dr.slaa alikifikisha chama ngazi ya kata,yeye ashuke chini sasa,kijiji/mtaa mpaka vitongoji.Hasahasa vijijini,maana huko ndo ccm wanakopata kura nyingi.Ukishawamaliza ccm huko,basi.Kwa maneno mengine aanze maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 sasa hivi.Zingatia haya...achana na siasa za magazetini na mbwembwe.Leta ushindi wa mitaa..tutakupima kwa hilo..numbers don't lie...
 
Aiisee hii dunia inashidaa, kwahi
yo ulitaka awe anatembea na vyombo vya habari na kujitanga
za anafanya nini kama hao
Wasanii wenu wanaoigiza kufa
nya ziara za ghafla huku wakitaa
rifu vyombo vya habari kwa siri
Ili wakauze sura?

Sisi katibu wetu tunamuelewa na
Ndo mana tumeshinda umeya Jiji la Dar kwa staili hii hii sasa
Makerere ya kazi gain?
Hiii ni staili ya kimya kimya aa
Shangaa na wewe, wanadhani kila mtu ni bongo movie
 
Jamani ni Rais Magufuli ndiye amewapotezea dira kwani anatekeleza sera zao. Sasa waseme nini?
Walau umetoa dira mkuu,kwa kasi ya Magufuli ile nafasi ya ku make headline kwenye media haipo tena.
 
Yupo busy kubuni misemo ya kumpamba Lowassa
 
UKu kwetu uzalamoni tuna msemo Kimya kingi kina mshindo mkuu
Ukimya mwingine unapaswa kutiliwa shaka,ukiamka asubuhi ukakuta jirani yako hata ni mgeni mtaani muda umesonga lakini mlango umefungwa na ndani kupo kimya,mgongee ikilazimu vunja huenda amepatwa na dhara,bwana kashinje anaonekana huku kwenye siasa kavamia
 
Wakuu salaam,
Ni muda Mrefu sasa katibu mkuu wa CHADEMA Dr Mashinji achaguliwe hajaonekana hadharani ama kwenye vyombo vya habari akitekeleza majukumu yake ya ukatibu mkuu kama alivyoahidi baada ya kupitishwa na mkutano mkuu wa baraza la Chadema huko Mwanza. Je ni nini kimempata kiongozi huyu mkubwa aliyepambwa kuvaa viatu vya Dr Slaa. Wenye taarifa za utendaji kazi wake ndani ya chama watujuze.
 
Tuliwahi kusema humu kuwa huyu ni garasa
 
Wakuu salaam,
Ni muda Mrefu sasa katibu mkuu wa CHADEMA Dr Mashinji achaguliwe hajaonekana hadharani ama kwenye vyombo vya habari akitekeleza majukumu yake ya ukatibu mkuu kama alivyoahidi baada ya kupitishwa na mkutano mkuu wa baraza la Chadema huko Mwanza. Je ni nini kimempata kiongozi huyu mkubwa aliyepambwa kuvaa viatu vya Dr Slaa. Wenye taarifa za utendaji kazi wake ndani ya chama watujuze.
Twambie kwanza kinana yuko wapi tangu uchaguzi mkuu umalizike ajaonekana?
 
495d61b78a5540181092b511f96232c8.jpg
Alishatoa tamko mbona? May be alishajifunza kutokana na uzoefu wake wa kuandaa migomo ya kifedhuli ya madaktari iliyoua Watanzania wenzetu wasiokuwa na hatia. The man has innocent blood in his hands!
 
Back
Top Bottom