Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Luna ukweli hiyo ndiyo lugha ya somalia au?Inaweza ikawa Luna ukweli juu ya hilo. ila kanyamaza mno.
Luna ukweli hiyo ndiyo lugha ya somalia au?Inaweza ikawa Luna ukweli juu ya hilo. ila kanyamaza mno.
yupo arusha anaimarisha chamaKutokana na kazi ya katibu mkuu wa chama na ukimya uliopo wa katibu mkuu huyu ni vema tukafahamu yupo kweli?
Inawezekana ni mazoea tuliojengewa na katibu mkuu aliejiondoa CDM Dr Slaa ambaye alikuwa ni mtu wakimkakati zaidi,katibu mkuu wa sasa anaonekana kama kiatu kinampwaya.
Maswali haya ni muhimu kwani kama kalala huenda yakamuamsha kutoka usingizini.
Ukitaka kujua jambo chunguza kwanza Alf upost siyo kuongea kama kanda,kazi ya katibu mkuu mmeambiwa ni sanaa au mziki awe kwenye kioo kila saa ukitaka kupata utajiri usianze kwa hela nyingi
Huyu alieitwa katibu mkuu msomi kuliko wote duniani kwa vyovyote huenda akawa hayafahamu majukumu yake sawasawa ama amepatiwa fani si yake.Wakuu salaam,
Ni muda Mrefu sasa katibu mkuu wa CHADEMA Dr Mashinji achaguliwe hajaonekana hadharani ama kwenye vyombo vya habari akitekeleza majukumu yake ya ukatibu mkuu kama alivyoahidi baada ya kupitishwa na mkutano mkuu wa baraza la Chadema huko Mwanza. Je ni nini kimempata kiongozi huyu mkubwa aliyepambwa kuvaa viatu vya Dr Slaa. Wenye taarifa za utendaji kazi wake ndani ya chama watujuze.
Huwezi fananisha ukimya wa kinana na katibu mkuu mgeni,hakuna asiefahamu mziki wa kinana muulize fisadi wa richmond atakwambia kuhusu mzee Kinana.Twambie kwanza kinana yuko wapi tangu uchaguzi mkuu umalizike ajaonekana?
Sawa,mhudumuuuuu ebu niletee ndovu mbili bariiiiidiiiiiiiiHuwezi fananisha ukimya wa kinana na katibu mkuu mgeni,hakuna asiefahamu mziki wa kinana muulize fisadi wa richmond atakwambia kuhusu mzee Kinana.
huyu mgeni anatakiwa aoneshe makali yake bt huyu hayajui majukumu yake
Unataka kinana afanye nini wakati chama chake kinapeta tu kwa sasa hana shida.CCM bwana, mbona hatumsikii wala kunuona Kinana? Yuko wapi kinana
Kada upo? Vipi inamaana hata sasa mkulu hajakufikiria hata kidogo?Unataka kinana afanye nini wakati chama chake kinapeta tu kwa sasa hana shida.
Leta ndovu mbili ya bariiiiidiiiiiiii haraka sana mhudumuuuuuNi ishara somo limeeleweka
Vipi kinana ameshaenda kuikomboa meli yake iliyokamatwa na meno ya bia fulaniYule siyo kiongozi ni shati tu lakini ndiyo shida ya kuwa na mwenyekiti asiyekuwa na upeo wa mbali.
Kama yeye ni shati basi wewe ni khanga,yaani mtu na akili zako unatumia picha ya mwanaume mwenzako kama AVATAR?umetuaibisha sana ina maana unamkufuru mungu kwa kukuumba kwa sura yako na ukaona sura ya muhongo ndio bora?Yule siyo kiongozi ni shati tu lakini ndiyo shida ya kuwa na mwenyekiti asiyekuwa na upeo wa mbali.