TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,297
- 28,006
MM, M1 M2, M....! Ilikuwa kazi kipindi hicho...cha kumtafuta MM...we acha tu...ndiyo maana wakati mwingine nakubaliana na rais mstaafu wa awamu ya nne kuwa...huu ni upepo utapita...nikweli ulipita.CHADEMA wana hali mbaya sana! Dr slaa uko wapi uje uokoe jahazi?