Hili ni swali muhimu lakini kabla ya majibu Yale hebu nikumbushe hivi katibu mkuu aliyejiuzuru alifanya ziara ya kichama Mkoa wa Mwanza kwa Mara ya kwanza mwaka gani?Kutokana na kazi ya katibu mkuu wa chama na ukimya uliopo wa katibu mkuu huyu ni vema tukafahamu yupo kweli?
Inawezekana ni mazoea tuliojengewa na katibu mkuu aliejiondoa CDM Dr Slaa ambaye alikuwa ni mtu wakimkakati zaidi,katibu mkuu wa sasa anaonekana kama kiatu kinampwaya.
Maswali haya ni muhimu kwani kama kalala huenda yakamuamsha kutoka usingizini.
Sasa Mbowe amedhamiria kuimaliza CHADEMA huku wafuasi wa CHADEMA walikiendelea kumpigia makofi kama kawaida yao.Makosa yalianzia BAWACHA,strategically speaking Mdee wasn't a smart choice at all,CHADEMA had other better choices to choose from, for example Lilian Wassira, she was the best candidate for the job. She has got a great appeal,an amazing personality and great communication skills. Kosa likahamia BAVICHA,Mwenyekiti wa sasa hakuwa chaguo bora na amedhihirisha,BAVICHA ya sasa imepooza sana. Mtiririko wa makosa ya Mwenyekiti ukahitimishwa kwa Katibu mkuu. Kila dalili zinaonyesha CHADEMA ndio imepoteza mwelekeo rasmi hivyo.
Jumapili mzee?Katibu mkuu anaanza kazi tarehe 10,april.2016
Slaa si mwana CCM? Allah ccm bila kuwapata mamluki ndani ya upinzani maisha hayataendaCHADEMA wana hali mbaya sana! Dr slaa uko wapi uje uokoe jahazi?
mwaka ndio unayoyoma hivyo jamaa bado anajiandaa tu...Mpaka sasa yupo sawa kama walimstukisha hio. Kazi.lazima ajiandae na kuweka. Mikakati
Dr wa usingizi, Mashinji uko wapi Mkuu? Hebu njoo uteme neno wanalumumba wasambaratike.
Kuwa Mchaga ni fahari sio aibu. Labda kuwa ... kama wewe ndio aibu.Mashinji (Manywele) amewekwa pale na Mbowe lengo likiwa eti kujaribu kukipa chama mwonekano wa kitaifa na kukivua lile vazi la aibu la Uchaga na Ukaskazini (ukabila na ukanda). Kwa njia hii anafikiri pengine 2050 ataweza kupunguza kipigo cha mbwa mwizi alichokipata kanda ya ziwa kwenye uchaguzi uliopita. Le akili ndogoz...!