gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,323
- 3,378
- Thread starter
- #121
Weledi wa Dr Slaa hatuambiwa na chama bali utendaji wake hakukua na namna unaweza fichika.Sasa huyu jamaa ambae bavicha pekee ndio mnampigia debe kwamba ni mweledi wakati zao la weledi wake hauonekani,hii ndio faida ya kundi lote kuburuzwa na mjanja mmojaUnasemaje kiatu kimempwaya.
Katibu Mkuu wa Chadema na Chadema yenyewe ndio yenye wajibu wa kulinganisha nani zaidi ktk utekelezaji wa majukumu ya nafasi hiyo
Nakushauri tafuta kazi ya kufanya na kama huna nenda Kijijini ukatekeleze kauli ya Mhe Rais ya "Watu wakalime tu"