habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,752
Ha ha ha mkuu umetengeneza asubuhi yanguPumba ipi ni bora zaidi ya...TFF ni TANZANIA FOOTBALL ASSOCIATION?
Ha ha ha mkuu umetengeneza asubuhi yanguPumba ipi ni bora zaidi ya...TFF ni TANZANIA FOOTBALL ASSOCIATION?
Kwa hiyo div 5 ukichanganya na ugonjwa wako huo wa stroke daima utaendelea kubakia gizaniMkuu katika maukawa ambayo hua yanaandika ili kujaza servers za JF wewe unashika bendera mkuu, unaandika sana lakini bahati mbaya sana kila unachokiandika ni pumba tu kuanzia asubuhi mpaka asubuhi unaandika ujinga ujinga tu. Kafanye kazi nyingine mkuu, maana hii unayoipenda naona kama vile haikupendi sana, sijawahi kusoma lolote la maana toka kwako.
Unatatizo la ubongo nakupuuza , Chukua ushauri wangu utakufaa katika maisha yako.Kwa hiyo div 5 ukichanganya na ugonjwa wako huo wa stroke daima utaendelea kubakia gizani
Stroke inazidi kukumong'onyoa ubongo wako kila kukichaUnatatizo la ubongo nakupuuza , Chukua ushauri wangu utakufaa katika maisha yako.
Mkuu huo ndio ukweli kwa vijana wa lumumba, hawataki kuona huo upuuzi na pumba alizotema nape bungeniHa ha ha mkuu umetengeneza asubuhi yangu
Wewe Ndo hamnazooo unafikri Chama hiki Ni Moto WA kifuu.Mashinji (Manywele) amewekwa pale na Mbowe lengo likiwa eti kujaribu kukipa chama mwonekano wa kitaifa na kukivua lile vazi la aibu la Uchaga na Ukaskazini (ukabila na ukanda). Kwa njia hii anafikiri pengine 2050 ataweza kupunguza kipigo cha mbwa mwizi alichokipata kanda ya ziwa kwenye uchaguzi uliopita. Le akili ndogoz...!
Wanabodi, Katibu Mkuu wa CHADEMA yuko wapi, anafanya kazi gani?
Ofisini, kumbuka huyo ni mtendaji na si mwanasiasaWanabodi, Katibu Mkuu wa CHADEMA yuko wapi, anafanya kazi gani?