Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Kamfikiria sana ila sasa elimu yake ndiyo kikwazo,labda amnunulie mkokoteniKada upo? Vipi inamaana hata sasa mkulu hajakufikiria hata kidogo?
Kamfikiria sana ila sasa elimu yake ndiyo kikwazo,labda amnunulie mkokoteniKada upo? Vipi inamaana hata sasa mkulu hajakufikiria hata kidogo?
Kinana ameshaweka raisi madarakani,huyu mashinje anakazi yakuhangika na dola,huwezi shika dola wakati kazi hufanyi,sisi tunampima utendaji wake na katibu mkuu aliepita Dr slaa huyu mashinje amelala mnoCCM bwana, mbona hatumsikii wala kunuona Kinana? Yuko wapi kinana
Ukitaka kumjua mtu asiye na hoja ni pale anapoanza kuingiza vitu visivyohusiana na mada na kuanza kulinganisha vitu ambavyo wakati mwingine wala havilinganishiki. Hapa anaongelewa Dr. Manywele (Mashinji) wewe tayari umekimbilia kwingine. Isitoshe huyo mzee wa Ndlovu unayemsema kazi yake kichama inajulikana miaka na miaka na miezi michache iliyopita amefanikiwa kuingiza rais wa chama chake madarakani tena baada ya kazi ngumu ya kuzunguka nchi nzima akifufua chama na kufanya kazi za mikono za kila aina. Sasa kweli ndiyo unataka kumlinganisha na huyu katibu mpya ambaye hata haijulikani ana falsafa zipi katika uongozi wake? Ningekuelewa kama ungeishia kusema tu kwamba kila mtu ana staili yake ya uongozi na Watanzania wawe na subira lakini siyo kujidogosha kwa kuingiza mambo yasiyohusiana wala kulinganishika. By the way nampa 100% kwa kukomesha tabia ya kuropoka ropoka tu bila mpango. It's a good start! Go Manywele go ila tu usije na mambo yako ya migomoccm tulieni. mnataka aseme wakati muda wa kusema haujafika. Tulieni aandae mikakati. Mbona hamsemi chochote kuhusu mzee wa ndlovu???
Ushauri mzuri. Nimemuona dogo mmoja kutoka Sweden amegundua kakifaa kadogo hivi kazuri kepesi ka kuchajia simu kwa kuzungusha mikono nikawakumbuka hawa jamaa. Wakati ule wa mafuriko kila mmoja angegawiwa kakifaa haka aisee tungezalisha megawati kibao dah!Mambo ya wazungusha mikono waachieni wenyewe! Hhahaha
ha ha ha mkuu nimecheka sana aiseee du, sasa si amwombe bosi wake aende shuleKamfikiria sana ila sasa elimu yake ndiyo kikwazo,labda amnunulie mkokoteni
Nanyie wazungusha viuno wa lumumba tunawaachia muendelee kuzungusha maunoMambo ya wazungusha mikono waachieni wenyewe! Hhahaha
Mkuu ule mpango wa MEMKWA ulisha expire kipindi kirefuha ha ha mkuu nimecheka sana aiseee du, sasa si amwombe bosi wake aende shule
acheni mihemko magamba nyie, anautaratibu wake hawezi kukurupuka km mnavyotaka ninyi wapuuzi wakubwa,Kinana ameshaweka raisi madarakani,huyu mashinje anakazi yakuhangika na dola,huwezi shika dola wakati kazi hufanyi,sisi tunampima utendaji wake na katibu mkuu aliepita Dr slaa huyu mashinje amelala mno
aiseee ndo basi tena aendeleee kubeba mabegi tu km kuuza maji kumemshindaMkuu ule mpango wa MEMKWA ulisha expire kipindi kirefu
unafikiri katibu wetu ana akili za kushikiwa km akili zenu?Msamehe bure maana mpaka sasa hajui anatakiwa kufanya nini, ngoja tumsubiri aje
Hayo ni mazuzu ya lumumba hayana yajuwalo zaidi kupigania kupata buku 7acheni mihemko magamba nyie, anautaratibu wake hawezi kukurupuka km mnavyotaka ninyi wapuuzi wakubwa,
kwa hoja gani mlokuwa nayo ninyi UVCCM?Hoja imewashika pabaya
Hoja imewashika pabaya
siku hizi posho zimepungua km si kuisha kabisa mkuu, mshahara wa mwezi machi wenyewe wamelipwa majuzi, ni njaaa tu wanacho kifanya hivi sasa ni kutaka huruma waonekane wanajituma,Hayo ni mazuzu ya lumumba hayana yajuwalo zaidi kupigania kupata buku 7
kila kitu kina utaratibu wake, naamini akitoka huko mtatafuta pa kujificha,Mpaka sasa watz hawafaham hizo akili zake kwenye siasa zaidi ya utaalumu wa utabibu.