Katibu katibua au katibuliwa?

mambo ni mengi muda mchache ambiere
 
Kifo hichi bado kina maswali mengi sana, pamoja na hayo Masanja hana tatizo kutangaza msamaha. Hiyo ni silaha kubwa kuliko zote, ameziba mengi kwa kutangaza haradharani kuwa pamoja na mke wake.

Hakuna ubaya wowote, iwe kweli ama si kweli bado ushindi upo kwa Masanja.
Mungu amsaidie Masanja na mke wake wapite salama katika kipindi hichi kigumu kwao.

Tuelewe kumpenda mke wako na Dunia yote ikajua hakuna ubaya wowote, Wala sio ushamba. Shida yetu tunaona kumpenda mke/mume ni vibaya.

Tumejazwa mitazamo hasi na jamii zetu, mwanaume unaishi na mke wako kama unaishi na jambazi, nikiwa na maana kila kitu umeweka Siri hadi hisia.

Mke wako hajui akaunti yako ya bank, mke hajui mshahara wako, mke hajui nyumba zako ulizojenga kwa Siri.

Mke wako hajui kama unampenda au humpendi! Kila kitu kwako Siri Siri.

Siku yakikupata wengine wanafaidi watoto wako na mke wako wanabaki wanateseka.

Shetani anajua nguvu iliopo katika kushikana vyema na mwenzi wako wa maisha, ndio maana elimu nyingi potofu zinasambazwa kwa Kasi kubwa.

Elimu yeyote iliyo nje au inayopingana na neno la Mungu hiyo elimu sio sahihi.

Penda mke wako, penda mume wako, siku akikuumiza Hilo litabaki kwake mwenyewe ila wewe utakuwa huna hatia.

Tuache kuishi na wenzi wetu kama maadui wetu bila sababu yeyote.

Asante sana.
 
 
Mimi nawaza inakuwaje niolewe.na mwanaume ambae simpendi? Maana ndo hayo hapo kama hakuna upendo ndo hayo kuchepuka.

Kwa upande wangu wanaume wapo wengi wanotaka kunioa hata leo nikisema niko tiyari natolewa mahali.

Tatizo liko kwangu kama simpendi mtu siwezi kumpotezea mtu muda eti kisa ndoa?bora niikose.

Kuna mwanaume nilimpenda ila ndo hivyo hakunioa,nili move on na maisha yangu.siku nikipata kama yule au anaekaribiana nae basi nitafanya maamuzi. Akikosa ndoa sio lazima, mm ntu ambae simpendi siwezi kusema hata nikubali mawasiliano nae yaani siwezi.

Wanawake sasa hivi wanaolewa kwa mkumbo ili watu wajuwe wameolewa ila kiundani hakuna mapenzi mwisho anachepuka, wanagombana na kuuana sometimes.
 
I wish wengi wangekuwa na mtazamo na msimamo kama wako ugomvi talaka na mauaji vingepungua sana
 
Kuna maamuzi unapotaka kuyachukua lazima uwafikirie na wengine...View attachment 2376712
Sometimes macho au uso in general unaonyesha mambo mengi sana...nikimcheki jamaa napata vibe la kikatili sana... nikimcheki manzi nahisi alikuwa mtu cool lakini kama alikuwa anachezea kipigo sana kutoka kwa jamaa...maana katabasamu lakini bado anatia huruma.
 
Huyu muadhilika anaweza kuongea bali ya ulimi wake kukatwa?
 
Tatizo kubwa la watanzania ni kudhani kuwa lengo la kuoa ni kukidhi kiu ya ngono. Kila kinapotokea kifo au sintofahau kwenye ndoa watu wanakimbilia kulaani ''mbunye''.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…