Katibu katibua au katibuliwa?

Kuna maamuzi unapotaka kuyachukua lazima uwafikirie na wengine...
 

Alimtumia Monica ?
Monica ndo akavujisha?
 
jengo gani mkuu liko wapi hilo jengo?
Kuna majengo mawili ya sirikali sio mazuri sana na wengi wameishia huko
Ukigombana na mtu ukamgusa akaanguka chini akafa kabisa mtagawana hayo majengo.. Wakati yeye akipelekwa mochwari wewe utapelekwa jela
 
Jamani hizi ndoa zimekuwaje? Kwani lazima kuishi wote? Si waachane tu? So sad.

Tatizo lipo kwetu wanaume, tunaishi kupambania (POSION YETU YA UANAUME) kumiliki Mke, Mali na Watoto, wanaume tunawivu sana na position yetu ya uanaume kwenye ndoa, alafu mali na watoto. Kama mwanamke upo willing kuondoka kwenye nyumba na kuacha ayo yote sizani kama vifo ivo vitakuepo.

Note: usikubali kupokea kitu kutoka kwa mwanaume mpenzi au anayekuhitaji kua mke kama huwezi kuuheshimu na kuitumikia position yake ya uanaume. Ndo maana maandiko yakasema mwanamke amtii mumewe na mume ampende mkewe.

Sisupprt mwanamke kupigwa/kuuliwa ila pia wanawake jua ayo kabla hujaingia kwenye ndoa itakusaidia sana.
 
Tatizo lilianzia hapo kwa katibu

Kama kweli tunamfuata kristu kuna mahali na yeye alikua na katibu?

Kama hapana hili ni dhehebu la dini ama NGO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…