Katiba ya CHADEMA inasemaje chama kutokuwa na Mwenyekiti wala Makamu?

Kigogo,
katoa ushauri wa maana sana kwa viongozi wa CHADEMA waliopo.
kwa maoni yangu baada ya kumsikiliza;
1. Chadema tayari imesha kufa bado mazishi.
2. kilicho baki ni kuwahadaa na kuwaburuza baadhi ya nyumbu.
kilicho baki tunasubiri tuambiwe mapato na matumizi basi kili mtu aangalie ustaarabu wake.
Mnyika, Benson Kigaila na Mrema wanalijua hilo.
Mbaya zaidi Lema eti ndio anakiendesha Chama kutokea Kanada baada ya Mbowe kushitakiwa, sasa mwendo huu mpaka ln? hata Lisu anazungukwa,! tulimshauri Lisu aanzishe chama chake. kwisha.
hii ndio tabu, tulimkabidhi Mbowe chama kikawa kama mali yake au kampuni yake, ona sasa taabu inayo jitokeza, kila mtu anaogopa kusema lolote kwa sababu mwenye mali hayupo!!huku tukikumbuka alijiaapiza hivi karibuni kuwa atastaafu mwaka 2024!!! aise huyu mzee anakitesa chama ile mbaya, hiyo kesi yenyewe haishi leo wala kesho bado sana huenda ikachukua hata miaka, pia matokeo ya kesi yanaweza pia yakawa vyovyote vile......
 
Mandela alifungwa miaka 27 Rubben Island akiwa kama mkuu wa ANC, je chama kilikufa??!!---- na alipofunguliwa ikawaje ?? kuwafunga viongozi wa vyama ni ishara kwamba saa ya ukombozi ipo karibu na hii ni; last kicks of a dying horse. CCM is a dying horse.
Hahahaaa Chadema sio ANC hapo ndipo mnafeli jibu swali.. Unatoka kwenye reli mkuu..
 
Ni sawa na hawapo tu mwenyekiti yupo mahabusu hatujui atatoboa au ndio Guantanamo, makamo mwenyekiti kaamua kujichimbia ughaibuni kula bata kwa namna ya kipekee,

Je, katiba inasemaje na ni kipindi gani chama kitakaa bila viongozi wakuu?

Makamanda ni matumaini ya wanachama wenu na mashabiki wenu wanataka kujua uchaguzi wa kujaza nafasi utafanyika lini maana mambo yanakwama!
Alipokufa Dikteta Meko SSM ikawa haina Mwenyekiti na Katibu Maana Bashiru tayari alikuwa KMK
Jadili Hilo kwanza
 
Mandela alifungwa miaka 27 Rubben Island akiwa kama mkuu wa ANC, je chama kilikufa??!!---- na alipofunguliwa ikawaje ?? kuwafunga viongozi wa vyama ni ishara kwamba saa ya ukombozi ipo karibu na hii ni; last kicks of a dying horse. CCM is a dying horse.

dooh unasubiria ccm kufa? utaondoka utaiacha inatawala my friend, huo ukombozi wenu mnaongelea hamna anaewaelewa
 
Alipokufa Dikteta Meko SSM ikawa haina Mwenyekiti na Katibu Maana Bashiru tayari alikuwa KMK
Jadili Hilo kwanza
Katiba yake ipo wazi mzee mangula yu hai na yupo nchini na pia haikuchukua muda kujaza nafasa!
 
Back
Top Bottom