Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,274
- Thread starter
- #21
Kumbe ni kanuni sio katiba, mwenzako aliomba hiyo katiba ya 2012, ungemwelewesha kuwa mna kanuni sio katika. hayo ndiyo malumbano ya hoja ya wanazuoni kama haipo sio ugomvi kuwa wazi kuwa haipo ila mna kanuni mbadala na kile kilichopo kwenye katiba yenu ya 2005
Hehee labda tumfahamishe tu kuwa, kanuni si mama wa katiba, bali katiba ndio mama wa kanuni,
Hivyo katiba ndio mjadala na sio kanuni.