Katiba ya CCM inawabeba Lowassa, Rostam, Chenge na kuwatosa Membe na Sitta

Kwi kwi kwi teh teh teh.

Rejea, kata tatu chopa tatu, rejea Kalenga, rejea Chalinze.

Duh, rejea uone Rais anatokea chama kipi na aligombea mara ngapi na magwanda mlishiriki kikamilifu, rejea bungeni kuna wabunge wangapi wa CCM waliochaguliwa na wananchi na wangapi wa magwanda waliochaguliwa na wananchi.

Halfu rejea wangapi waupendeleo ambao walichaguliwa na chama na wangapi walichaguwa kifamilia.

Hapo sasa.

huyo rais alianza na asilimia ngapi ya kura ktk uchaguz wa kwanza,vipi ziliongezeka ktk awamu ya pili?idadi ya wabunge ccm ilikuaje awamu zote?
 
Hilo wala lisikustue ili mradi katiba inakubalika na CCM ni chama cha wananchi wote.

Tatizo ni pale Katiba haisemi kuwa chama ni saccos na watu wanajikopesha kuliko saccos yoyote ile, tena viongozi.

Vipi wewe umekopeshwa na saccos ya ufipa pale?

attachment.php

Which is witch? wicked isn't it?
Mbona siku nyingi tunafahamu BAVICHA wana akili ya kucopy na kupaste.
Ndo zao kutafuta attention kwa kutumia majina makubwa na sasa wamehamia kutumia article za watu wengine.Jaribu kumfatilia kwa ukaribu utagundua dogo alivyo mweupe kichwani yuko faster kwenye copy and paste.
 
CHADEMA: KATIBA YA 2006

5.4.3. Kuachishwa ama kufukuzwa na tawi lake ama ngazi nyingine ya chama, kwa mujubu katiba kwakukosa sifa za kuendelea kuwa mwanachama ama kuwa kuwa na mwenendo usioendana na itikadi, falsafa, madhumuni, kanuni, maadili na sera za Chama. Mwanachama atakuwa na haki yakukata rufaa kwa ngazi ya juu kama hakuridhika na adhabu hiyo.

5.4.4. Bila kuathiri kifungu 5.4.3 cha katiba, kamati kuu inaweza kumwachisha ama kumfukuza mwanachama yeyote kwautaratibu utakao wepangwa na kanuni za chama.

.
alaa kumbe haka ndiko ka-section kalikofanya zahma kwa wale jamaa zangu watatu.
 
Mbona siku nyingi tunafahamu BAVICHA wana akili ya kucopy na kupaste.
Ndo zao kutafuta attention kwa kutumia majina makubwa na sasa wamehamia kutumia article za watu wengine.Jaribu kumfatilia kwa ukaribu utagundua dogo alivyo mweupe kichwani yuko faster kwenye copy and paste.

Kuna uwezekano Huyu mtu ana account fake nyingi anaziendesha.
 
Mbona siku nyingi tunafahamu BAVICHA wana akili ya kucopy na kupaste.
Ndo zao kutafuta attention kwa kutumia majina makubwa na sasa wamehamia kutumia article za watu wengine.Jaribu kumfatilia kwa ukaribu utagundua dogo alivyo mweupe kichwani yuko faster kwenye copy and paste.

Ikiwa unalengaantiki,ya hoja sioni kama ni afya kujadili watu,

Hebu nenda kaisome huko uone kisha njoo
 
CHADEMA: KATIBA YA 2006

Sura ya tano (5) ya katiba ya chadema ndio inayohusu mambi ya Uanachama kama nilivyoeleza awali kuwa hayo ndio nitakayofundisha kwa mapana zaidi.

5.0. Uanachama

5.1. Sifa zakuwa mwanachama/mfuasi wa Chama.

5.1.1. Awe raia wa Tanzania
5.1.2. Awe na umri wa miaka 18 au zaidi

5.1.3. Awe na akili timamu
5.1.4. Awe anakubaliana na katiba,sera,kanuni na maadili ya chama.

5.1.5. Awe anakubaliana na itikadi na falsafa ya chama.

5.1.6. Asiwe mwanachama wa chama kingine cha siasa baada yakujiunga na CHADEMA.

5.1.7. Vijana wa umri wa 12-17 ambao wanatimiza sifa ya 5.1.1, 5.1.3, 5.1.4, 5.1.5, na 5.1.6, watajiunga na Chama kama wafuasi wa Chama na watapewa kadi maalumu za Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA).

5.1.8. Kuwa mwanachama wa Chadema itakuwa ndio sifa ya msingi yakujiunga na Mabaraza ya Vijana, Wanawake na Wazee.

5.2. HAKI ZA MWANACHAMA.
Kilawanachama anahaki ya:

5.2.1. Kuchagua viongozi wa Chama wa ngazi anayohusika kwamjibu wa katiba.

5.2.2. Kuchaguliwa kuongoza na kuwakilisha Chama katika ngazi yoyote kwakuzingatia masharti yaliyowekwa ya sifa za uongozi,

5.2.3. Kushiriki vikao vya Chama vinavyomhusu na kutoa mawazo yake kwa uhuru kwamjibu wa taratibu za vikao.

5.2.4. Kujitetea, kusikilizwa na kukata rufaa anaposhitakiwa ama kuchukuliwa hatua za kinidhamu kichama.

Itaendelea.........

5.3. WAJIBU WA MWANACHAMA.

5.3.1. Kushiriki kikamilifu katika vikao vinavyomhusu na katika shughuli nyingine za chama kadri atakavyotakiwa.

5.3.2. Kuchangia gharama za uendeshaji Chama kwa njia ya ada ya uanachama ya kila mwaka na kwamichango mingineyo itakayoamriwa na vikao vya chama.

5.3.3. Kutetea na kueneza itikadi, falsafa na madhumuni ya Chama ndani ya jamii anamoishi.

5.3.4. Kushirikiana na wanachama na viongozi wengine wote katika kutekeleza sera na mipango ya chama.

5.3.5. Kuwa tayari kupambana na namna yoyote ya uonevu, ukandamizaji, udhalilishaji na ubaguzi.

5.4. KUKOMA KWA UANACHAMA.

5.4.1. Kwakujiuzulu mwenyewe kwahiari yake.

5.4.2. Kutokana na kufariki.

5.4.3. Kuachishwa ama kufukuzwa na tawi lake ama ngazi nyingine ya chama, kwa mujubu katiba kwakukosa sifa za kuendelea kuwa mwanachama ama kuwa kuwa na mwenendo usioendana na itikadi, falsafa, madhumuni, kanuni, maadili na sera za Chama. Mwanachama atakuwa na haki yakukata rufaa kwa ngazi ya juu kama hakuridhika na adhabu hiyo.

5.4.4. Bila kuathiri kifungu 5.4.3 cha katiba, kamati kuu inaweza kumwachisha ama kumfukuza mwanachama yeyote kwautaratibu utakao wepangwa na kanuni za chama.

5.4.5. Kukosa sifa za uanachama.

5.4.6. Kufukuzwa uanachama wa Baraza la Vijana au Wanawake au Wazee kwa utovu wa nidhamu.

5.5 ADA NA KIINGILIO YA UANACHAMA.

5.5.1. Kutakuwa na kiingilio kwa kila mwanachama mpya.

5.5.2. Kutakuwa na ada ya mwaka ya uanachama.

5.5.3. Utaratibu wa ulipaji na viwango vya ada zote utafafanuliwa na kanuni za Chama.

Weka kile kipengele Mbowe alichomekea ili awe mwkty Wa daima
 
Wambie waliokuambi wakuonyeshe kifungu kilichochomekwa kwa hila,

Hapa chini ni ibara zinazohusu uanachama na uongozi,

Mkuu unataka kuelekezwa yaliyomo kwenye katiba ya CCM Ili ukiridhika wewe na wale mjiunge.

Kwanini??
 
Hivi hii ndio CCM ya Mwl Nyerere, Hivi hii ni ile CCM iliyoshehena wasomi wa aina mbalimbali, hiki ndio chama kikongwe nchini Tanzania?

Hivi kweli hiki chama kikongwe kimekosa wasomi wa kupangua hoja za nyericko Nyerere? Nimemuona MwanaDiwani badala ya kujadili hoja, na kutuletea katiba ya CCM ya mwaka 2012 yeye anajadili ilikotoka hoja! ni page ya 5 sasa hakuna jibu la MwanaDiwani zaidi ya kuruka ruka kama maharage ya Mbeya, nafikiri muda si mrefu atakuja na kutuambia ya kuwa yeye sio msemaji wa chama kama alivyomjibu dada yetu @ FaizaFoxy katika thread yake ya kutaka majibu juu ya kauli ya Lukuvi.

Ndugu yangu MwanaDiwani husijishushe chini kama akina Msalani, Sisi wasomaji na watanzania kwa jumla tungependa kupata majibu sahihi kwa wakati sahihi. Itakuwa jambo la ajabu kama CCM kitajiringanisha na CUF, Chadema au NCCR.

Tungependa kuona unapangua hoja na kujibu maswali ya wadau mbali mbali...
 
Kwanza lazima uelewe neno demokrasia lina maana ndefu ambayo pia huwa ni kinzani kulingana na mazingira.

Unashika bango tu na kupiga kelele ukisema CCM haina demokrasia. Wanaofahamu vizuri neno demokrasia watakuuliza, demokrasia ipi?. Katika kanuni zipi ambazo zinaongozwa na taratibu zipi?.

Ndiyo maana nikakueleza kuwa Katiba ya chama inajenga misingi tu ya uendeshaji lakini huo uendeshaji lazima uwe na taratibu na kanuni ambazo zimekubaliwa na wanachama wengi. Hizo kanuni na taratibu ndiyo demokrasia yenyewe.

Kijana acha kukariri maandiko ambayo hata tafsiri yake hufahamu.

Ya CHADEMA imekushinda, utaiweza ya CCM iliyojengeka katika misingi ya chama endelevu.

Mkuu, MwanaDiwani, ili kumaliza ngebe za wanaJF, kwanini usilete KATIBA YA CCM, TOLEO LA 2012, kama unavyosema kuwa ndiyo Toleo sahihi la Katiba ya CCM?

Tafadhali, fanya hima, ukishindwa basi wewe ni mbatata tu.
 
Back
Top Bottom