Katiba ya CCM inawabeba Lowassa, Rostam, Chenge na kuwatosa Membe na Sitta

Kumbe ni kanuni sio katiba, mwenzako aliomba hiyo katiba ya 2012, ungemwelewesha kuwa mna kanuni sio katika. hayo ndiyo malumbano ya hoja ya wanazuoni kama haipo sio ugomvi kuwa wazi kuwa haipo ila mna kanuni mbadala na kile kilichopo kwenye katiba yenu ya 2005

Hehee labda tumfahamishe tu kuwa, kanuni si mama wa katiba, bali katiba ndio mama wa kanuni,

Hivyo katiba ndio mjadala na sio kanuni.
 
Kumbe ni kanuni sio katiba, mwenzako aliomba hiyo katiba ya 2012, ungemwelewesha kuwa mna kanuni sio katika. hayo ndiyo malumbano ya hoja ya wanazuoni kama haipo sio ugomvi kuwa wazi kuwa haipo ila mna kanuni mbadala na kile kilichopo kwenye katiba yenu ya 2005
Kiwango chako cha fikra kiko chini sana.

Nani alikuambia mchakato wa kupata wagombea wa nafasi mbali mbali ndani ya CCM umeainishwa kwenye Katiba.

Kujenga hoja na watu wenye upeo mdogo wa kisiasa kama wako ni kupoteza muda!.

Thanks, but no thanks.
 
Weka na ya chadema tuone inampendelea nani kati ya mbowe na slaa

Wewe Dada tumia hili jukwaa kujenga hoja na kuelimisha jamii wajinga kama wewe sio jujwaa la maboya kama wewe njaa hauna kazi unabisha tu hata kitu haujui kwa ajiri ya Buku 7 huku watoto wako hawana hata daftari na kalam darasani.mbungi intarahamwe wewe unahaza saver ya jf na kuaribu mada muhimu.
 
Kiwango chako cha fikra kiko chini sana.

Nani alikuambia mchakato wa kupata wagombea wa nafasi mbali mbali ndani ya CCM umeainishwa kwenye Katiba.

Kujenga hoja na watu wenye upeo mdogo wa kisiasa kama wako ni kupoteza muda!.

Thanks, but no thanks.

Mkuu MwanaDiwani

Hebu tafsiri vifungu hivi kutoka kwenye katiba ya ccm toleo 2005.

"13 (3)Mwanachama aliyeachishwa au kufukuzwa Uanachama akitaka kuingia tena katika CCM, itabidi aombe upya, na atapeleka maombi yake hayo ama katika Halmashauri Kuu ya Wilaya ama kikao kilichomwachisha au kumfukuza Uanachama.
(4) Mwanachama aliyejiuzulu akitaka kuingia tena katika CCM ataomba upya kwa kufuata utaratibu wa kuomba Uanachama kwa mujibu wa Katiba ya CCM.

19 (2)Kiongozi aliyeachishwa au kufukuzwa uongozi anaweza kuomba tena nafasi ya uongozi wowote na maombi yake yatafikiriwa na kutolewa uamuzi na kikao kilichomwachisha au kumfukuza uongozi".

Kisha angalia mantiki ya hoja yangu katika kuleta ukosozi huu.
 
Last edited by a moderator:
Nilichokuwa nafanya ni kukupa somo.

Siyo kazi yangu kukusaidia kujenga hoja ambayo inaendana na wakati katika mantiki ya hoja.

Wagombea wa CCM hawatolewi kutoka ndani ya mifuko ya suruali za viongozi wa chama kama ilivyo CHADEMA.

CCM ina kanuni na taratibu zake zinazoisimamia na kuiongoza katika kufanya shughuli zake mbalimbali zikiwemo za mchakato wa kuwapata wagombea wake katika ngazi mbalimbali kuanzia shina hadi taifa.

CCM ina kanuni za Uteuzi wa wagombea wa CCM kuingia katika vyombo vya dola toleo la Februari, 2010 na Kanuni za uchaguzi wa CCM, toleo la 2012.

Unazifahamu kanuni za CCM kwenye mchakato wa uchaguzi wa ndani?. Au umekariri kama ilivyo kawaida ya vijana wa BAVICHA.

Kumbe ni kanuni sio katiba, mwenzako aliomba hiyo katiba ya 2012, ungemwelewesha kuwa mna kanuni sio katika. hayo ndiyo malumbano ya hoja ya wanazuoni kama haipo sio ugomvi kuwa wazi kuwa haipo ila mna kanuni mbadala na kile kilichopo kwenye katiba yenu ya 2005
 
Yericko Nyerere kichwa cha habari kingekuwa neutral kama hivi ingekuwa vizuri zaidi 'Katiba ya CCM inawabeba lowassa,rostam na chenge na kuwatosa membe na sitta....HUKUWA NA HAJA YA KUONYESHA USHABIKI NA CHUKI YAKO KWA WATU FULANI....
 
Last edited by a moderator:
Yericko Nyerere kichwa cha habari kingekuwa neutral kama hivi ingekuwa vizuri zaidi 'Katiba ya CCM inawabeba lowassa,rostam na chenge na kuwatosa membe na sitta....HUKUWA NA HAJA YA KUONYESHA USHABIKI NA CHUKI YAKO KWA WATU FULANI....

Soma mada kwaumakini mkuu, hakuna niliyemfurahisha hapo,

Wezi na wanafiki wote lao moja.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwanza rejea kwenye majubu yako ya awali kwenye hoja yangu ya msingi,

Ulisema ccm inatumia katiba toleo la 2012, kwabusara kabisa nikaomba uweke hapa vifungu vya katiba hiyo vilivyofanyiwa marekebisho katika fungu la 1 na 2,

Lakini sasa nahamisha mantiki kuwa ni kanuni na sio katiba,

Rejea kwenye msingi wa hoja mkuu.
Ndiyo maana nilikuambia kuwa, hufahamu hata unachokiongea.

Mambo ya Uanachama na Kikomo cha Uanachama inahusiana vipi na maombi ya ambao tayari ni wanachama hai, wanaoomba nafasi za uteuzi wa viongozi kuingia kwenye vyombo vya dola?.

Ndiyo maana nilikuambia Uteuzi wa Wanachama ambao ni hai wanaotaka kuingia kwenye vyombo vya dola unasimamiwa na Kanuni za uteuzi toleo la Feb, 2010.

Wanachama wa CCM ambaye ni hai automatically anakuwa imeishavuka hicho kigezo cha katiba cha Uanachama na Viongozi Fungu la I & II

Kabla hujaleta hoja hapa Jf, fanya kwanza homework lakini siyo mimi ndiyo nikufanyie homework.

Thanks.
 
Kwanza unachokiongea ni illogical and outdated.

Tatizo lako unawaza kibavicha bavicha. CCM tunaenda na wakati.

Wewe unatuletea Katiba ya 2005. You're out of this world.

CCM tuna katiba toleo la 2012.

Mkuu MwanaDiwani nadhani hapo kwenye RED uliandika mwenyewe au unataka niamini kuwa kweli unakaririshwa cha kuandika bila kujua unachoaandika. Naomba wanazuoni (great thinkers) waamue nani mwenye upeo mdogo kati yangu na wewe kama mtu unasahau ulichokiandika tena aya moja tu ndani ya masaa ninashindwa kuelewa jinsi utakavyoitetea katiba yako ni busara kwenye malumbano ya hoja ukiri pale ulipokengeuka sio kutokwa na povu lisilo na maana. Kama wewe ni mmoja wa wanaotegemewa kuitetea katiba ya chama chako basi kazi ipo:smile-big::smile-big::israel:
 
Yericho Nyerere nakupongeza kwakuwa umechukua muda wako, umesoma na unakuja hapa kutushawishi kwa kunukuu vifungu. Excellent, hii ndoo JF tunayoitaka. Naweza kuwa na tafsiri tofauti lakini kukupinga lazima na Mimi nisome tena. A home work for you. Pitia Ilani za chama anzia name 1980 then uje utuambia CCM wana falsafa gani na wanasimamia nini
 
Kwanza unachokiongea ni illogical and outdated.

Tatizo lako unawaza kibavicha bavicha. CCM tunaenda na wakati.

Wewe unatuletea Katiba ya 2005. You're out of this world.

CCM tuna katiba toleo la 2012.

Mkuu MwanaDiwani nadhani hapo kwenye RED uliandika mwenyewe au unataka niamini kuwa kweli unakaririshwa cha kuandika bila kujua unachoaandika. Naomba wanazuoni (great thinkers) waamue nani mwenye upeo mdogo kati yangu na wewe kama mtu unasahau ulichokiandika tena aya moja tu ndani ya masaa ninashindwa kuelewa jinsi utakavyoitetea katiba yako ni busara kwenye malumbano ya hoja ukiri pale ulipokengeuka sio kutokwa na povu lisilo na maana. Kama wewe ni mmoja wa wanaotegemewa kuitetea katiba ya chama chako basi kazi ipo:smile-big::smile-big::israel:
 
Mkuu MwanaDiwani nadhani hapo kwenye RED uliandika mwenyewe au unataka niamini kuwa kweli unakaririshwa cha kuandika bila kujua unachoaandika. Naomba wanazuoni (great thinkers) waamue nani mwenye upeo mdogo kati yangu na wewe kama mtu unasahau ulichokiandika tena aya moja tu ndani ya masaa ninashindwa kuelewa jinsi utakavyoitetea katiba yako ni busara kwenye malumbano ya hoja ukiri pale ulipokengeuka sio kutokwa na povu lisilo na maana. e ni mmoja wa wanaotegemewa kuitetea katiba ya chama chako basi kazi ipo:smile-big::smile-big::israel:
Ndugu, ndiyo maana nilisema uwezo wako wa kuchambua masuala ni kiduchu!.

Kwanza naomba uelewe kuwa mleta mada amefanya makosa mawili.
1) Ametumia Katiba ambayo outdated. CCM kwa sasa tuna Katiba toleo la 2012 wakati mleta mada anatumia toleo la 2005.
2) Anajenga hoja ambazo kwa macho ya CCM, siyo kama inavyofanya katika mchakato wa kuwapata viongozi, kwa maana kuwa, katiba ya CCM ni msingi tu wa utendaji lakini teuzi za wanachama hai wanaotaka kuongoza dola zinaongozwa na taratibu kupitia kanuni ambazo msingi wake ni Katiba ya chama.

Sasa hata katika maelezo haya huwezi hata kuelewa, I'm out!.
 
Ndiyo maana nilikuambia kuwa, hufahamu hata unachokiongea.

Mambo ya Uanachama na Kikomo cha Uanachama inahusiana vipi na maombi ya ambao tayari ni wanachama hai, wanaoomba nafasi za uteuzi wa viongozi kuingia kwenye vyombo vya dola?.

Ndiyo maana nilikuambia Uteuzi wa Wanachama ambao ni hai wanaotaka kuingia kwenye vyombo vya dola unasimamiwa na Kanuni za uteuzi toleo la Feb, 2010.

Wanachama wa CCM ambaye ni hai automatically anakuwa imeishavuka hicho kigezo cha katiba cha Uanachama na Viongozi Fungu la I & II

Kabla hujaleta hoja hapa Jf, fanya kwanza homework lakini siyo mimi ndiyo nikufanyie homework.

Thanks.

MwanaDiwani

Nilitaraji sana uje katika engo hii, naaam sasa tunaweza kujadili kwa ufasaha lengo la mnakasha huu,

Utetezi wako umebeba mantiki kuwa kundi la wanachama niliowataja hapo ni kundi la wanachama halali na hawajawahi kuadhibiwa na chama pia wanasifa zote za kuchagua na kuchaguliwa kuwa viongozi wa umma.

Ama nimekosea???

Sasa hoja yangu inatulia hapa,

Je watu hao wanafuzu tundu hili la sindano????

Soma vifungu hivi kisha nijibu mkuu, tuliza moyo na akili.

18.Ni mwiko kwa kiongozi:-

(1)Kutumia madaraka aliyopewa ama kwa ajili ya manufaa yake binafsi au kwa upendeleo, au kwa namna yoyote ambayo ni kinyume cha lengo lililokusudiwa madaraka hayo.

(2)Kupokea mapato ya kificho, kutoa au kupokea rushwa, kushiriki katika mambo yoyote ya magendo au mambo mengine yaliyo kinyume cha lengo lililokusudiwa madaraka hayo
 
Last edited by a moderator:
Ndugu, ndiyo maana nilisema uwezo wako wa kuchambua masuala ni kiduchu!.

Kwanza naomba uelewe kuwa mleta mada amefanya makosa mawili.
1) Ametumia Katiba ambayo outdated. CCM kwa sasa tuna Katiba toleo la 2012 wakati mleta mada anatumia toleo la 2005.
2) Anajenga hoja ambazo kwa macho ya CCM, siyo kama inavyofanya katika mchakato wa kuwapata viongozi, kwa maana kuwa, katiba ya CCM ni msingi tu wa utendaji lakini teuzi za wanachama hai wanaotaka kuongoza dola zinaongozwa na taratibu kupitia kanuni ambazo msingi wake ni Katiba ya chama.

Sasa hata katika maelezo haya huwezi hata kuelewa, I'm out!.

Nilitumia maneno machache tu kuijibu hoja hii awali,

Niliomba mkuu utuletee hapa vifungu vya toleo la katiba la 2012,

Je tuvipate wapi mkuu??
 
Mkuu MwanaDiwani

Hebu tafsiri vifungu hivi kutoka kwenye katiba ya ccm toleo 2005.

"13 (3)Mwanachama aliyeachishwa au kufukuzwa Uanachama akitaka kuingia tena katika CCM, itabidi aombe upya, na atapeleka maombi yake hayo ama katika Halmashauri Kuu ya Wilaya ama kikao kilichomwachisha au kumfukuza Uanachama.
(4) Mwanachama aliyejiuzulu akitaka kuingia tena katika CCM ataomba upya kwa kufuata utaratibu wa kuomba Uanachama kwa mujibu wa Katiba ya CCM.

19 (2)Kiongozi aliyeachishwa au kufukuzwa uongozi anaweza kuomba tena nafasi ya uongozi wowote na maombi yake yatafikiriwa na kutolewa uamuzi na kikao kilichomwachisha au kumfukuza uongozi".

Kisha angalia mantiki ya hoja yangu katika kuleta ukosozi huu.
Ndugu, Nimekwambia CCM hatutumii kwa sasa Katiba toleo la 2005, CCM tunatumia Katiba toleo la 2012 pamoja na kwamba kuna sura na vipengele vinavyofanana.

Kama unataka wanaJF waweze kujenga hoja ambazo msingi wake ni Katiba inayotumika, weka hapa vifungu vya Katiba toleo la 2012.

By the way, Mtu yeyote kupitia CCM hawezi kuomba kuteuliwa na chama kuwa kiongozi kwenye dola (Rais) bila kuwa mwanachama hai, na mtu ambaye ni mwanachama hai, hahusiki tena na hivi vipengele vya uanachama unavyoleta pamoja na kwamba nivya Katiba ya zamani.

Kwa kukusaidia zaidi katika mfano ambao ni rahisi, mtu hawezi kuomba kujiunga na form one bila kuwa na cheti cha darasa la saba, na mtu aliyemaliza form four anayetaka kujiunga na form five hawezi tena kuanza kuulizwa cheti cha darasa la saba ili ajiunge na form five. Huu mfano unaweza kukusaidia kimantiki.
 
Mbona unakwepa sana ombi langu la kukutaka uiweke hiyo katiba toleo la 2012?

Mimi sijaiona na wala siijui hiyo ya 2012, badala yake naijua hii ya 2005
 
Mkuu MwanaDiwani anakimbia kivuli chake ameshindwa kuleta katiba ya 2012 kwenye medani za hoja hii inafanya maelezo yake yote hata kama yalikuwa mazuri vipi kuwa ngonjera kwa kukosa (reference) rejea huyo ni miongoni mwa makada wanaotegemewa hakika siasa za nchi hii zimejaa vituko halafu vinadai vina upeo mkubwa God have mercy on this country
 
Back
Top Bottom