Katiba ya CCM inawabeba Lowassa, Rostam, Chenge na kuwatosa Membe na Sitta

Vipi hii mlikuwa pamoja na Tundu Lissu?

Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu, hapa kimenuka.

hata waliokutetea humu wanaona jinsi ulivyo punguani.

Unatafsiri gani juu ya hili?

13 (3)Mwanachama aliyeachishwa au kufukuzwa Uanachama akitaka kuingia tena katika CCM, itabidi aombe upya, na atapeleka maombi yake hayo ama katika Halmashauri Kuu ya Wilaya ama kikao kilichomwachisha au kumfukuza Uanachama.
(4) Mwanachama aliyejiuzulu akitaka kuingia tena katika CCM ataomba upya kwa kufuata utaratibu wa kuomba Uanachama kwa mujibu wa Katiba ya CCM.

19 (2)Kiongozi aliyeachishwa au kufukuzwa uongozi anaweza kuomba tena nafasi ya uongozi wowote na maombi yake yatafikiriwa na kutolewa uamuzi na kikao kilichomwachisha au kumfukuza uongozi.
 
Kwi kwi kwi teh teh teh.

Naomba kujuwa nini maana ya siasa, ewe unaejinadi kama "Mimi ni mwanasiasa", mimi naona umekosea, ungeandika "mwanasihasa" inge-fit kabisa na ile habari yako na akina Nyerere orijino.

Katiba ya ccm unatambua kuwa inaruhusu vibaka na majambazi kuwa viongozi?
 
Ndugu zangu wa lumumba tufanyieni hisani tu kwakutuletea katiba ya ccm toleo la 2012 anayodai mwenezi wenu kuwa mnayo.

cc MwanaDiwani, Ritz, MSALANI, FaizaFoxy, Nape Nnauye, Juliana Shonza, Mtela Mwampamba, ridhiwan kikwete, Anna Tibaijuka, faustine Ndugulile,

Kama haiko basi naombeni tafsiri ya vifungu hivi kutoka katiba yenu ya 2005.

Unatafsiri gani juu ya hili?

13 (3)Mwanachama aliyeachishwa au kufukuzwa Uanachama akitaka kuingia tena katika CCM, itabidi aombe upya, na atapeleka maombi yake hayo ama katika Halmashauri Kuu ya Wilaya ama kikao kilichomwachisha au kumfukuza Uanachama.
(4) Mwanachama aliyejiuzulu akitaka kuingia tena katika CCM ataomba upya kwa kufuata utaratibu wa kuomba Uanachama kwa mujibu wa Katiba ya CCM.

19 (2)Kiongozi aliyeachishwa au kufukuzwa uongozi anaweza kuomba tena nafasi ya uongozi wowote na maombi yake yatafikiriwa na kutolewa uamuzi na kikao kilichomwachisha au kumfukuza uongozi.
 
Last edited by a moderator:
Katiba ya ccm unatambua kuwa inaruhusu vibaka na majambazi kuwa viongozi?

Hilo wala lisikustue ili mradi katiba inakubalika na CCM ni chama cha wananchi wote.

Tatizo ni pale Katiba haisemi kuwa chama ni saccos na watu wanajikopesha kuliko saccos yoyote ile, tena viongozi.

Vipi wewe umekopeshwa na saccos ya ufipa pale?

attachment.php

Which is witch? wicked isn't it?
 
Unatafsiri gani juu ya hili?

13 (3)Mwanachama aliyeachishwa au kufukuzwa Uanachama akitaka kuingia tena katika CCM, itabidi aombe upya, na atapeleka maombi yake hayo ama katika Halmashauri Kuu ya Wilaya ama kikao kilichomwachisha au kumfukuza Uanachama.
(4) Mwanachama aliyejiuzulu akitaka kuingia tena katika CCM ataomba upya kwa kufuata utaratibu wa kuomba Uanachama kwa mujibu wa Katiba ya CCM.

19 (2)Kiongozi aliyeachishwa au kufukuzwa uongozi anaweza kuomba tena nafasi ya uongozi wowote na maombi yake yatafikiriwa na kutolewa uamuzi na kikao kilichomwachisha au kumfukuza uongozi.

Tafsiri yanini hapo? kila kitu kiko wazi.

Kiswahili hukijui hata utake kutafsiriwa?
 
Hilo wala lisikustue ili mradi katiba inakubalika na CCM ni chama cha wananchi wote.

Tatizo ni pale Katiba haisemi kuwa chama ni saccos na watu wanajikopesha kuliko saccos oyote ile, tena viongozi.

Vipi wewe umekopeshwa na saccos ya ufipa pale?

attachment.php

Which is witch? wicked isn't it?
wewe umelewa gahwa?ccm sio cha wananchi wote,ni cha ridhiwan,salma,j.kikwete,miraji kikwete na majizi mengine kama rostam,lowassa,chenge,mkono,..wewe ni mpiga vuvuzela tu.
 
Mapovu ya nini?tuleteeni katiba ya 2012.

Katiba ya CCM, nyie inawahusu nini?

Yenu mmesharekebisha kuifanya kuwa saccos kamili maana tunasikia wakubwa wanakopeshana huko pesa za chama kama hawana akili vizuri. Vipi, wewe umekopeshwa kujenga? au ile ni kwa ajili ya Slaa na mchumba tu?

Hapo sasa!
 
wewe umelewa gahwa?ccm sio cha wananchi wote,ni cha ridhiwan,salma,j.kikwete,miraji kikwete na majizi mengine kama rostam,lowassa,chenge,mkono,..wewe ni mpiga vuvuzela tu.

Kwi kwi kwi teh teh teh.

Rejea, kata tatu chopa tatu, rejea Kalenga, rejea Chalinze.

Duh, rejea uone Rais anatokea chama kipi na aligombea mara ngapi na magwanda mlishiriki kikamilifu, rejea bungeni kuna wabunge wangapi wa CCM waliochaguliwa na wananchi na wangapi wa magwanda waliochaguliwa na wananchi.

Halfu rejea wangapi waupendeleo ambao walichaguliwa na chama na wangapi walichaguwa kifamilia.

Hapo sasa.
 
attachment.php

Unaejiita Yericko Nyerere, hiyo imekaaje, word to word na Tundu Lissu?

Which is witch? wicked, isn't it? or shall I ask which is which?
 
Last edited by a moderator:
Tafsiri yanini hap? kila kitu kiko wazi.

Kiswahili hukijui hata utake kutafsiriwa?

Nani anafuzi vifungu hivi kuko Lumumba? Je wale niliowataja,kuwa ni wezi na wanafiki wanafuzu???

18.Ni mwiko kwa kiongozi:-

(1)Kutumia madaraka aliyopewa ama kwa ajili ya manufaa yake binafsi au kwa upendeleo, au kwa namna yoyote ambayo ni kinyume cha lengo lililokusudiwa madaraka hayo.

(2)Kupokea mapato ya kificho, kutoa au kupokea rushwa, kushiriki katika mambo yoyote ya magendo au mambo mengine yaliyo kinyume cha lengo lililokusudiwa madaraka hayo
 
attachment.php

Unaejiita Yericko Nyerere, hiyo imekaaje, word to word na Tundu Lissu?

Which is witch? wicked, isn't it? or shall I ask which is which?

Na hizi zishangae mama,

https://m.facebook.com/?hrc=1&refsrc=http%3A%2F%2Fh.facebook.com%2Fhr%2Fr&_rdr#!/groups/139566169436330?message_id=728872880505653&notif_t=like&ref=m_notif

https://m.facebook.com/?hrc=1&refsrc=http%3A%2F%2Fh.facebook.com%2Fhr%2Fr&_rdr#!/story.php?story_fbid=811372708874630&id=100000057246937&notif_t=like&ref=m_notif

https://m.facebook.com/?hrc=1&refsrc=http%3A%2F%2Fh.facebook.com%2Fhr%2Fr&_rdr#!/groups/319102021454501?message_id=770785732952792&notif_t=like&ref=m_notif
 
Last edited by a moderator:
Nani anafuzi vifungu hivi kuko Lumumba? Je wale niliowataja,kuwa ni wezi na wanafiki wanafuzu???

18.Ni mwiko kwa kiongozi:-

(1)Kutumia madaraka aliyopewa ama kwa ajili ya manufaa yake binafsi au kwa upendeleo, au kwa namna yoyote ambayo ni kinyume cha lengo lililokusudiwa madaraka hayo.

(2)Kupokea mapato ya kificho, kutoa au kupokea rushwa, kushiriki katika mambo yoyote ya magendo au mambo mengine yaliyo kinyume cha lengo lililokusudiwa madaraka hayo

Nakushangaa sana na maswali yako ya kijuha.
Nimekuuliza, unataka kuhamia CCM?
 
Kuna uwezekano mkubwa Sana hizi zote ni za kwako mkuu.

Nimeangalia vizuri hiyo inayoitwa ya Tundu Lisu, ameeleza vizuri sana kuwa mwandishi ni Yericko Nyerere

Sijui nyie mnaoma juu tu au mnafanya makusudi?

Soma mpaka mwishoni kabisa utaona ndugu, usifuate mkumbo wa vijana wa lumumba
 
Last edited by a moderator:
Katiba ya CCM, nyie inawahusu nini?

Yenu mmesharekebisha kuifanya kuwa saccos kamili maana tunasikia wakubwa wanakopeshana huko pesa za chama kama hawana akili vizuri. Vipi, wewe umekopeshwa kujenga? au ile ni kwa ajili ya Slaa na mchumba tu?

Hapo sasa!

Hiyo single ilishakuwa zilipendwa,jipange upya!
 
Back
Top Bottom