yani huyo Arushaone ndio
alikua anatangaza eti umenitelekeza
miezi minne,akamuomba mpaka dady
ampe ruksa ya kunitwaa,kafuzwa na mshale!!
Lazima nikuwowe P L.
Subutu... Passion Lady humuwezi
mwny mali karudi
ushindwe kabisa
Subutu... Passion Lady humuwezi
Nimeiona mkuu na wewe ntakuona
Lazima nikuwowe P L.
Pole,za msituni?umewekewa most wanted na serikali ya marekani kama koni
Afu wewe ulikuwa cha where? Nakupigia haupatikani au ndo ulienda ile trip ya Darfur?