Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,010
- 2,604
Tafiti ni muhimu katika maisha yetu ya kila siku pengine ndiyo huchukua nafasi muhimu ya maamuzi katika maisha yetu.
Karibuni!
Piga kura yako, onesha hitaji lako
Leo, binafsi ningependa kujua takwa/dai la katiba liko kwa kiwango kipi ndani ya mioyo yetu wadau wa jamiiforums, ningependa tutumie thread hii pia kubainisha mambo mbalimbali ambayo yanakwamishwa na katiba iliyopo ya mwaka 1977 kama ambavyo nilivyoishikiza katika andiko ili kuondoa dhana takwa la katiba limekaa katika mlengo wa kisiasa zaidi kuliko faida za kijamii. Lakini pia Piga kura yako hapo juu ili tupate tathmini ya hitaji hili lipo kwa kiasi gani.
Karibuni!
Piga kura yako, onesha hitaji lako