Katiba Mpya: Kulikoni Makamanda na ndugu Wananchi Kusita Sita?

Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,817
2,000
Kuna hizi TAASISI hizi.....

Ukizifuatilia utajua kipi huwa kipo....
ford.png
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,817
2,000
Watanzania wana akili sana......

Wanaangalia SUDAN kila uchao ni mbilinge na WALIOPATA VILEMA ndio hivyo tena.....

Wanaangalia ETHIOPIA.....ukanda/ukabila/umimi/...machafuko na vita kule Tigray...sasa "vichwa moto" wanaelekea ADDIS ABABA(makao makuu ya Afrika).....

Hapa ukumbuke kuwa WANASIASA BANAAA.....yaani hapa leo MAADUI WA ZAMANI WAMEKUWA MASWAHIBA....kambi ya malofa walio wengi(OROMIA) imeungana na mabwana wa nchi kihistoria(TPLF) kumshambulia NDUGU WA WAOROMIA(Abiy Ahmed) aliyeonekana anataka MSAWAZISHO WA NCHI.....🤣🤣

Kichapo kitakapotembea watakaoathirika ni WAZEE ,WATOTO ,AKINA MAMA ,WALEMAVU n.k

Hizi hoja za kutaka "machafuko" ndiyo yawe MBELEKO ya kufikia MATAKWA YA KISIASA huwa zina AJENDA MBOVU NYUMA YAKE......

SIEMPRE JMT
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,817
2,000
iyo amani unayohubiri ukiwa na njaa/umasikini inasaidia nini?
😳😳😳🤣🤣🤣

Hata walemavu huutafuta mkate wao vile walivyo......

Acha kufuru wewe....unaongelea njaa ambayo ni maumbile tuliyoumbiwa na Mungu na ambayo hutujia kila baada ya masaa?!!!

Riziki atoaye Mungu....tufanye kazi tulitafute tonge....ama unataka ujifananishe na nani KIKIPATO?!!! 🤣🤣🤣

SIEMPRE JMT
NCHI KWANZA
AMANI KWANZA
 
Drifter

JF-Expert Member
Jan 4, 2010
3,430
2,000
Una mawazo mazuri ila tatizo unataka nguvu itumike jambo ambalo ni kinyume na demokrasia unayoihubiri. Leo ww ukiingia madaraka kwa mtutu wa bunduki au maandamano yupo atakayekuja na kukuambia kuwa naww hujufuata misingi ya demokrasia kuiningia madarakani kwa nguvu ya box la kura.

Ona Libya, Ethiopia, Sudan, Tunisia wamefaidika nini na mapinduzi waliyoyafanya. Je majeraha yao yameshatibika. Ndugu pambana tuijenge nchi yetu. Hayo mengine achana nayo... yatakukuta bure halafu familia yako ndo ihangaike. Mwanasiasa hutetea tumbo lake siku zote.

Ona Kenya, wana tume huru sijui mihili yao yote mitatu iko huru lakini mikoa zaidi ya 17 (kama nimekosea nirekebishe) imetangaza NJAA kuwa janga la kitaifa. Katiba imewasaidia nini kuepukana na njaa...??? Jacob Zuma ametuhumiwa kuiba pesa ngapi kwenye nchi yake, katiba mpya imesaidia nini?

Leo hii mtu anaweza kudhani ya kuwa KATIBA ndo kila kitu lakini pasipk kuwa na weledi wa wale wanaitekeleza katiba ni kazi bure. Ndugu cha kufanya pambama usomeshe, uchumi ukue, uishi maisha ya furaha wewe na kizazi chako.

Mwisho, US wana KATIBA nzuri sana but still kuna masikini wa kutupwa. So usiweke matarajio makuubwa kuwa KATIBA ndo suluhisho la kila kitu.

FANYA KAZI, KIJANA JITUME... Muda ukienda umeenda hutoweza kusingizia katiba kama ukilala njaa wewe na familia yako.

Eeh MUNGU TWAKUOMBA UENDELEE KUTUJALIA AMANI.

Correction: US hakuna “umasikini wa kutupwa” (abject poverty) kama unaoonekana kwenye nchi nyingi za dunia ya tatu.

Umasikini uliopo kule ni kwa vigezo vya mlinganisho (relative poverty) kati ya matabaka na kupungua kwa uwezo wa baadhi ya makundi ya watu wa kumudu huduma za jamii. Hata hao, maisha yao yanaonekana bora zaidi kulinganisha na wengi huku kwetu.
 
Freiston

JF-Expert Member
Oct 25, 2020
240
500

Hahhaha masikini ni masikini tu ndugu... acha kushupalia vya watu. Angalia hi report ya DW ikielezea umasikini wa marekaniAcha kuishi kwenye ombwe la fikra mgando. Dunia ni kijiji. Ndo maana nkakushauri fanya kazi kwa juhudi uikombie nchi, achana na wanasiasa wanaofaidisha matumbo yao kupitia mgongo wako. Si umesikia daraja la salenda ni mwendo wa tozo... hahahhaha #TulipeTOZO Tuijenge nchi yetu Tanzania 🇹🇿
 
Freiston

JF-Expert Member
Oct 25, 2020
240
500
Watanzania wana akili sana......

Wanaangalia SUDAN kila uchao ni mbilinge na WALIOPATA VILEMA ndio hivyo tena.....

Wanaangalia ETHIOPIA.....ukanda/ukabila/umimi/...machafuko na vita kule Tigray...sasa "vichwa moto" wanaelekea ADDIS ABABA(makao makuu ya Afrika).....

Hapa ukumbuke kuwa WANASIASA BANAAA.....yaani hapa leo MAADUI WA ZAMANI WAMEKUWA MASWAHIBA....kambi ya malofa walio wengi(OROMIA) imeungana na mabwana wa nchi kihistoria(TPLF) kumshambulia NDUGU WA WAOROMIA(Abiy Ahmed) aliyeonekana anataka MSAWAZISHO WA NCHI.....🤣🤣

Kichapo kitakapotembea watakaoathirika ni WAZEE ,WATOTO ,AKINA MAMA ,WALEMAVU n.k

Hizi hoja za kutaka "machafuko" ndiyo yawe MBELEKO ya kufikia MATAKWA YA KISIASA huwa zina AJENDA MBOVU NYUMA YAKE......

SIEMPRE JMT
Mwisho wa siku, hao wanasiasa watakaa meza moja kugawana madaraka. Story inaishia hapo. Vijana tufanye kazi kwakweli....
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,817
2,000
Hahhaha masikini ni masikini tu ndugu... acha kushupalia vya watu. Angalia hi report ya DW ikielezea umasikini wa marekani
Acha kuishi kwenye ombwe la fikra mgando. Dunia ni kijiji. Ndo maana nkakushauri fanya kazi kwa juhudi uikombie nchi, achana na wanasiasa wanaofaidisha matumbo yao kupitia mgongo wako. Si umezikia daraja la salenda ni mwendo wa tozo... hahahhaha #TulipeTOZO Tuijenge nchi yetu Tanzania 🇹🇿

👊😍
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom