Unajua kuna watu vichwani mwao kuna UDINI hawawezi kuwaza wala kufikiri kingine zaidi ya UDINI. Hawajui jema wala baya wao wanajua UDINI tu,wanalala,wanaamka,wanaishi na wanakula UDINI badala ya kutizama mambo kwa jicho la tatu.
Si vyema kuzungumzia mambo yenye manufaa kwa mustakabali wa nchi yetu na watoto wetu kwa mtazamo wa Kidini haijalishi mwanzisha hoja anaabudu nini! Jamani hoja akianzisha Muislamu basi Mkristo apinge tu hata kama ni hoja ya manufaa kwa taifa kweli tutafika???
Bwana Kupeng'e hebu acha unazi wako wa UDINI na uanze kufikiri na kuona mambo katika mtazamo wa tofauti kidogo.
Ni hayo tu.