Kati ya Wema na Jokate nani ni photogenic?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,212
Naombeni Jibu Lenu HARAKA Sana Na Atakayetajwa Kwa Wingi Nanyi Humu Basi Ndiyo Huyo Huyo Nitamtumia Ktk TANGAZO LANGU LA KAMPUNI MOJA NINALOLITENGENEZA Sasa.

Binafsi Nimeshindwa Kujua Nani Ni Photogenic Than The Other Hivyo Nimewatupieni Mpira Nyie Mnisaidie Ktk Hili.

Hili Zoezi Nalianza Rasmi Sasa Hivi Na Nitalifunga Rasmi Usiku Saa 3 Leo Hivyo Nitakachokifanya Ni Kuhesabu Tu Kura Nyingi Zitamwangukia Nani Kisha Kesho Naingia Nae MKATABA RASMI WA KUFANYA MATANGAZO.

Akhsanteni.

 
Mimi Naona Jokate
985f4d63944941c99b07a4dce96d3f90.jpg


9ced5a411e03d31efe0a9ced5b06d27a.jpg
 
Jokate sio photogenic tu ila she has so much potential na sielewi tatizo lake nini hasa ,anaishia tu kuwa side chick wa masela ,
Wewe ndio unajua sasa maana ya photogenic, wengine wamecomment kwa ushabiki na kufuata mkumbo tu.
Wema yuko vizuri zaidi kwenye suala la photogenic.
 
Back
Top Bottom