Waislam wote duniani wanafundishana kwamba vitabu vya Mungu; Tourati, Zaburi na Injili vimechakachuliwa. Hili fundisho mmepata wapi! Mbona mnamuona Mungu ni dhaifu sana kiasi kwamba hawezi kulinda vitabu vyake?
Yaani Bukhari ana kitabu chake cha Hadith kipo hadi leo tangu kiandikwe ila Mungu wenu Allah hakuweza kabisa kulinda vitabu vyake. Kitabu cha kibinadamu cha Hadith kimelindwa na wanadamu ila Allah hana kabisa uwezo wa kulinda vitabu vyake....Mungu wenu mnamuonaje?
Ila huyo huyo Allah anasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu anaweza kubadilisha maneno yake (quran6:34) lakini bado mnampinga na kusema wapo walioweza kubadilisha.
Yaani Mungu alete vitabu vinne(kwa mujibu wa uislam) Kisha aweze kutunza kimoja tu? Mungu dhaifu sana huyu. Ni sawa na una mbuzi 100 Kisha mbabe mmoja anajitokeza anakuvamia na kuchukua 75 unabaki na 25, we ni dhaifu sana umeshindwa kulinda mali yako.
Sasa nipo njiapanda, waislam mnisaidie. Tuwaamini nyie kwamba vitabu vyake vitatu vimeharibiwa kwamba yeye hana uwezo wa kuvilinda au tumuamini yeye aliposema hakuna wa kubadilisha maneno yake na kwamba sasa nyie ni waongo kusema vimebadilishwa?
Waongo sana hawa Waislamu wao na allah wao. Kinyume chake Quran yao ndiyo ina contradictions kibao. Huyu Covax alikujaga na Propaganda yake humu ati Biblia ina contradictions aki cite 2 chronicles 21 and 2 chronicles 22:2 kuwa inakuwaje mtoto wa Mfalme anamzidi Baba yake kwa miaka 2? Nikamjibu kupitia andiko la 2 Kings 8:25 & 26: akaufyata wala hakurudi tena1. Je, Qur’an inathibitisha kwamba vitabu vya awali viliharibiwa?
Ndio. Qur'an inathibitisha kwamba baadhi ya watu walibadilisha maandiko kwa makusudi*:
Surah Al-Baqarah 2:79
"Ole wao wale wanaoandika kitabu kwa mikono yao kisha wakasema: Hiki ni kutoka kwa Allah..."
-Surah Al-Ma’ida 5:13
"...Wanabadilisha maneno kutoka mahali pake..."
Surah Al-Imran 3:78
"Hakika kuna kundi miongoni mwao wanapotosha maandiko kwa ndimi zao ili mpate kudhani kuwa hayo ni kutoka kwenye Kitabu..."
Hii inaonyesha kwamba baadhi ya watu wa Taurat na Injili *walibadilisha maana au maneno kwa faida zao.
2. Je, Allah alishindwa kulinda vitabu vyake?
Hapana. Allah hakuahidi kulinda Taurat wala Injili – lakini aliwahimiza watu wa vitabu walinde wao wenyewe:
Surah Al-Ma’ida 5:44
"Hakika Sisi tuliwateremshia Taurat, yenye uwongozi na nuru. Manabii waliokuwa wamejisalimisha kwa Allah walihukumu kwa hiyo kwa Mayahudi..."
Lakini watu walishindwa kuilinda, wakabadilisha au wakaficha sehemu fulani.
Kwa Qur’an pekee, Allah aliahidi kuilinda Mwenyewe:
Surah Al-Hijr 15:9
Bwana Covax, wewe najua huna lengo la kujua...wewe unapush narrative zako...Mkuu kwahiyo unakubali kwamba hiyo ni scribal error iliofanywa na roho mtakatifu alio mshukia muandishi?
Hakuna wa kizazi hiki hapo kuna Maswahaba,waliokuja baada ya Maswahaba na waliokuja baada ya waliokuja MaswahabaHao wanazuoni walikuwepo kipindi cha Muhammad au hawa wa kizazi hiki?
Covax hamna kitu mle yeye post zake ni kugoogle tu hataki kusumbua kichwa kufikiria mwenyeweWaongo sana hawa Waislamu wao na allah wao. Kinyume chake Quran yao ndiyo ina contradictions kibao. Huyu Covax alikujaga na Propaganda yake humu ati Biblia ina contradictions aki cite 2 chronicles 21 and 2 chronicles 22:2 kuwa inakuwaje mtoto wa Mfalme anamzidi Baba yake kwa miaka 2? Nikamjibu kupitia andiko la 2 Kings 8:25 & 26: akaufyata wala hakurudi tena
Nenda hapo #58 nilipo mjibu.Bwana Covax, wewe najua huna lengo la kujua...wewe unapush narrative zako...Mkuu kwahiyo unakubali kwamba hiyo ni scribal error iliofanywa na roho mtakatifu alio mshukia muandishi?
Vipi kuhusu Surah 41:9–12 Inaonyesha dunia na vitu viliumbwa kwa siku 8 vs Qur’an 7:54 siku 6. Kosa la kunakili au Mungu alisahau hesabu
Aidha, ona hii video jinsi contradictions zilivyojaa kwenye Quran
View attachment 3528010
Ibn AbasSasa kiongozi si ndo umesema utaleta maelezo ukitulia! Au sio wewe
Asie muislam hata awe professor, lkn akili zake ktk mambo ya dini huwa yanashangazaWaislam wote duniani wanafundishana kwamba vitabu vya Mungu; Tourati, Zaburi na Injili vimechakachuliwa. Hili fundisho mmepata wapi! Mbona mnamuona Mungu ni dhaifu sana kiasi kwamba hawezi kulinda vitabu vyake?
Yaani Bukhari ana kitabu chake cha Hadith kipo hadi leo tangu kiandikwe ila Mungu wenu Allah hakuweza kabisa kulinda vitabu vyake. Kitabu cha kibinadamu cha Hadith kimelindwa na wanadamu ila Allah hana kabisa uwezo wa kulinda vitabu vyake....Mungu wenu mnamuonaje?
Ila huyo huyo Allah anasema wazi kabisa kwamba hakuna mtu anaweza kubadilisha maneno yake (quran6:34) lakini bado mnampinga na kusema wapo walioweza kubadilisha.
Yaani Mungu alete vitabu vinne(kwa mujibu wa uislam) Kisha aweze kutunza kimoja tu? Mungu dhaifu sana huyu. Ni sawa na una mbuzi 100 Kisha mbabe mmoja anajitokeza anakuvamia na kuchukua 75 unabaki na 25, we ni dhaifu sana umeshindwa kulinda mali yako.
Sasa nipo njiapanda, waislam mnisaidie. Tuwaamini nyie kwamba vitabu vyake vitatu vimeharibiwa kwamba yeye hana uwezo wa kuvilinda au tumuamini yeye aliposema hakuna wa kubadilisha maneno yake na kwamba sasa nyie ni waongo kusema vimebadilishwa?
Kila kitu kina misingi yake ya kuiendea: Hakuna suala linalojadiliwa au kuhukumiwa kwa hisia, dhana binafsi au uelewa wa juu juu; bali kila jambo lina kanuni, misingi, na mbinu zake za kielimu zinazopaswa kufuatwa ili kufikia hitimisho sahihi.Tafsiri ipi sio sahihi? Mungu anasema hakuna wa kubadilisha neno lake unataka mtu akutafsirie hiyo?
Poa nasubiri hapaHakuna wa kizazi hiki hapo kuna Maswahaba,waliokuja baada ya Maswahaba na waliokuja baada ya waliokuja Maswahaba
😂😂we jamaa kuwa serious japo kidogo tu.Ibn Abas
“Hakuna anayeweza kubadilisha hukumu ya Allah, lakini watu wanayapotosha maneno kwa tafsiri na maandishi yao.”
Ibn Kathir
“Hakuna awezaye kubadilisha ahadi ya Allah, wala hukumu Yake. Ama vitabu vilivyokuwa mikononi mwa watu, walivipotosha kwa maandishi na maana.”
At-Tabari
“Maana ya maneno ya Allah ni uamuzi Wake na habari Zake za kweli, ambavyo hakuna anayeweza kuzibatilisha.”
Al-Qurtubi
“Aya hii inahusu qadari, ahadi na hukumu; haikanushi kuwa watu waliweza kupotosha vitabu walivyokabidhiwa.”
Ok twende polepole mkuu,Kila kitu kina misingi yake ya kuiendea: Hakuna suala linalojadiliwa au kuhukumiwa kwa hisia, dhana binafsi au uelewa wa juu juu; bali kila jambo lina kanuni, misingi, na mbinu zake za kielimu zinazopaswa kufuatwa ili kufikia hitimisho sahihi.
Mtu akisema: " Mungu anasema hakuna wa kubadilisha neno lake unataka mtu akutafsirie?"
Unachotakiwa kufahamu tafsiri ya Qur'an ina misingi. Qur'an haikuwa kama kitabu ambacho kama unakiona sasa hivi kuwa kimeshakamilika basi kila mtu anasoma.
Kila aya kila sura ilishuka kwa sababu yake kulingana na matukio husika wakati wa Mtume. Hivyo, moja ya misingi ya kuijua aya ina maana gani ni lazima ujue sababu za hiyo aya kushuka (asbab an-nuzul).
Ikiwa kama wewe utatafsiri kwa kutumia uelewa wako pasipo kutumia misingi ya kitu husika fahamu ya kwamba kila mtu atakuwa na dini yake, bali haitokuwa dini moja tena, yaani ya uislamu.
Na kwa namna hiyo, ukiwa unataka kuielewa aya inakubidi urejelee kwenye vyanzo vya tafsiri. Mbali na hapo ufahamu wako utaangukia kama ufahamu waliyokuwa nao magaidi kwa sababu waliruhusu kutafsiri aya kwa kutumia uelewa wao wenyewe.
Kwa msingi huo, maadamu unauhoji uislamu, basi itakuwa ni busara ukafuatisha misingi yake ya kielemu (ya kiislamu) ipoje.
Nilijua tu utakataa na kulazimisha maana unayotaka wewe🤣🤣🤣Poa nasubiri hapa
😂😂we jamaa kuwa serious japo kidogo tu.
Aya inasema hakuna mtu wa kubadilisha maneno ya Allah.
Halafu mtu anakutafsiria na kusema ahadi mwingine anasema hukumu. Hata kwa fikra zako we unaonaje hapo! Mbona wote wamekwepa point.
Maana hii ninayokupa na hizo ulizonipa ipi ipo kwenye Aya yenyewe?
Hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kubadilisha kile ambacho Mungu amemtuma mtume wake akifundishe kwa watu. Hakuna mwanadamu mwenye uwezo wa kubadilisha Tourati ya Mungu, hakuna mwanadamu wa kubadilisha Injili ya Mungu na hakuna wa kubadilisha Zaburi ya Mungu.
Wapi kasema hakuna wa kuchezea vitabu vyake .hyo kauli ni Kwa Quran tu ndo imekuja.Kwa hiyo Allah anaposema hakuna wa kuchezea vitabu vyake na vimechezewa ni wazi kwamba ametudanganya
Hakushindwa alitaka kuwaonesha uwezo wake.Mkuu kwanini aliruhusu hivyo vingine vichezewe au alishindwa kuvilinda
Quran haithibitishi kitu chochote, ni hekaya tu za Mwarabu Mudy.1. Je, Qur’an inathibitisha kwamba vitabu vya awali viliharibiwa?
Ndio. Qur'an inathibitisha kwamba baadhi ya watu walibadilisha maandiko kwa makusudi*:
Surah Al-Baqarah 2:79
"Ole wao wale wanaoandika kitabu kwa mikono yao kisha wakasema: Hiki ni kutoka kwa Allah..."
-Surah Al-Ma’ida 5:13
"...Wanabadilisha maneno kutoka mahali pake..."
Surah Al-Imran 3:78
"Hakika kuna kundi miongoni mwao wanapotosha maandiko kwa ndimi zao ili mpate kudhani kuwa hayo ni kutoka kwenye Kitabu..."
Hii inaonyesha kwamba baadhi ya watu wa Taurat na Injili *walibadilisha maana au maneno kwa faida zao.
2. Je, Allah alishindwa kulinda vitabu vyake?
Hapana. Allah hakuahidi kulinda Taurat wala Injili – lakini aliwahimiza watu wa vitabu walinde wao wenyewe:
Surah Al-Ma’ida 5:44
"Hakika Sisi tuliwateremshia Taurat, yenye uwongozi na nuru. Manabii waliokuwa wamejisalimisha kwa Allah walihukumu kwa hiyo kwa Mayahudi..."
Lakini watu walishindwa kuilinda, wakabadilisha au wakaficha sehemu fulani.
Kwa Qur’an pekee, Allah aliahidi kuilinda Mwenyewe:
Surah Al-Hijr 15:9
Kwani si nimekupa maelezo ya wanazuoni kuhusiana na hiyo aya uliyoitaja😃😃We unaonaje maelezo yako mbona yapo nje kabisa na mada
We unaonaje maelezo yako mbona yapo nje kabisa naNilijua tu utakataa na kulazimisha maana unayotaka wewe🤣🤣🤣
Anyway ushahidi ndio huo
Sasa jamaa unasema ni wapi amesema hakuna wa kuchezea vitabu vyake kisha unasema hiyo ni kauli kwa ajili ya Quran tu, ni nini sasa hapo!. Kwani kusema vitabu vimechezewa, vimechakachuliwa, vimeharibiwa, vimebadilishwa, hizo si ni kauli za kufanana maana?Wapi kasema hakuna wa kuchezea vitabu vyake .hyo kauli ni Kwa Quran tu ndo imekuja.
Sio Kwa vitabu vya wayahudi walivyopewa.
Chunguza
Nilikosea kidogo nilitaka kumaanisha hivo kwamba maneno ya wanazuoni.Kwani si nimekupa maelezo ya wanazuoni kuhusiana na hiyo aya uliyoitaja😃😃
Halafu hayo sio maelezo yangu ni maelezo halisi ya hiyo aya naona hautaki ulitarajia tafsiri yako🤣🤣🤣
Wanazuoni wenye kufahamu kuliko wewe wametoa maelezo na maelezo yao ni sahihi kabisa maana ufahamu wao kuhusiana na dini ni mkubwaNilikosea kidogo nilitaka kumaanisha hivo kwamba maneno ya wanazuoni.
Kwani ndugu, ile Aya inasema "maneno ya Mungu " mbona rahisi tu sasa why maelezo yanaenda mbali sana nje na mzizi wa maana halisi?