Kati ya Volkswagen Touareg na Harrier macho ya panzi ipi gari nzuri hapa?

1628058356488.png


VS
1628058444719.png


Binafsi ningeenda na Tuareg ila safari zangu mara nyingine zinanifikisha Namtumbo huko... sasa Tuareg ikileta shida Namtumbo

uko matatizoni ila kwa Harrier unapiga mruzi tu maisha yanaendelea
 
View attachment 1879395

VS
View attachment 1879396

Binafsi ningeenda na Tuareg ila safari zangu mara nyingine zinanifikisha Namtumbo huko... sasa Tuareg ikileta shida Namtumbo

uko matatizoni ila kwa Harrier unapiga mruzi tu maisha yanaendelea
Nimecheka sana, hizi gari za mzungu ziki kinukisha porini, huna msaada mkuu.. utalala hapo hapo na kuagiza gari ya kuja kuibeba, kuna mwamba alikuwa anaenda manyoni.. VW ikafanya yake, mbona gari ilikuja kubebwa pale kurudishwa dar es salaam
 
Kwangu mimi ningekushauri voxwagon Tourege na sababu ninazo na ninaweza nikakuchambulia kinaga ubaga halafu uje ulingamishe na harrie
 
Habari wakuu.

Nataka kununua gari, naomba mawazo ya uzoefu kati ya Harrier macho ya panzi na Vokswagen Touareg ni ipi nzuri ya kuchukua.

Sina uzoefu wowote wa magari ya Volkswagen.

Natanguliza shukrani.
Hizo harrier ni nyepesi sana kwenye high speed, usipokuwa makini inakutupa..Go for VW
Vipi kama ukiamua kununua zote mbili?
Kama pesa ipo, vuta zote mbili, utamu na karaha utaujua mbele kwa mbele wewe mwenyewe.

Maisha mbona rahisi tu ukiamua.
Good idea
 
Eeh kama ana Million 2-3 za hapa na pale basi VW itakua gari bora zaidi kwake.

Hili ni angalizo tu ili asije hapa baada ya miezi 6 kuulizia MAF Sensor ya Touareg anaipataje maana kamaliza maduka yote Ilala.
Mbona maf sensors zenyewe bei chee tu
Screenshot_2022-06-15-19-03-24-611_com.alibaba.aliexpresshd.jpg
 
Back
Top Bottom