Kati ya Programmer na I.T

Vipi kuhusu anayetaka kujifunza Data analysis/Data science.Je naye atahitaji kwanza kuwa programmer au kujifunza lugha ngapi ukiitoa lugha ya PYTHON.

Data analysis/data science kwanza uwe vizuri statistics ,pia hauwezi kufanya chochote hapo bila kuwa vizuri kwenye kutumia software za data analysis.maneno hayata kusaidia.

Lugha moja tu inatosha,ila kilichopo ni kwamba kuna software zimetengenezwa na hizo lugha kwa ajiri ya kufanya analysis Kwa hiyo unaweza kuishia kwenye software zilizotengenezwa tayari au usome language kabisa iliyotengeneza hiyo software ya analysis ni machaguo yako sasa hapo automatic wewe ni programmer tu lazima uandike code kitu kitokee .
 

Maneno yako yanitie nguvu
 
Shukrani sana bro mi napiga hyo course umenihamasisha zaidi niongeze juhuz
 
Sana broo mafanikio ni juhudi tusipende shortcut nmekuelewa sana kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…