Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,152
- 1,696
Habari zenu?
Swali hili nalielekeza kwa Wana-taaluma wa afya Madaktari, Manesi.... Je, uhai na PF3 kipi kina umuhimu zaidi, kuna case mbalimbali ambazo waliokumbwa na kadhia za ajali kuchelewesha huduma, na wengine kupoteza maisha kabisa kwa kigezo cha kuhitajika PF3 kwanza.
Kingine nawachana Madaktari na Manesi, sio kwamba ninyi pekee mliosoma zaidi, wengine mmefaulu kwa kuungaunga na wengi wa Manesi pamoja na Clinical Officers form four walikuwa na D-TATU.
Narudia tena wengi wenu mna elimu za kawaida, na course zenu sio special.
Nimemaliza.