Solar inatoa umeme wa kuchaj battery then battery itumike kwa matumizi
Ukiwa na sola pekee ile inazalisha 18V Na Battery kna 12V hii inasababisha umeme kuwa unstable. Wingu likipita tuu umeme unapungua. Ili uwe stable weka battery.
Weka sola juan then washa taa uone ufanisi wake.
Chek kifaa chako input ni v ngap.
Pump or any kind of motor with variable load sio lazima itumie battery. It’s expensive and not recommended kutumia battery kwenye variable loads especially irrigation pumps. Constant load/torque kama gari, pikipiki, etc ni constant load/speed. That’s another topic.
Back to batteryless solar application.
Panel: (example brand)
18V
11.12A
200W
Voltage ya panel inavary kutokana na temperature. Current ya panel inavary kutokana na sun irradiance (w/m2)
Kwamaana hiyo mazingira ya joto au baridi voltage inachange around 18v (juu au chini). Very little change.
Again asubuhi mchana mpaka jioni irradiance ya jua (w/m2) inachange from 0 to 1000w/m2 (depends na ikweta, latitude is equal to solar inclination angle) some places hazi experience 1000w/m2 forever. That’s another topic.
Kutokana na sifa hizo za panel kwa mzigo ambao haujitaji conatant power output tunaweza kuapply ili uendeshe load respectively with the changing power supply.
Namaanisha pump itakua inatoa varibale water litres kutokana na available solar power throughout a day.
That’s where MPPT control comes in. (Not PWM control). Variable speed ya motor inakua achieved na control strategy inaitwa scalar control. There’s non-need ya PID control (hatujitaji speed feedback control as there is no constant load). That’s PhD glimpse.
Happy Monday.