Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,090
- 2,705
Hapa nazungumzia pump za kuvuta maji kwenye visima. Nimeambiwa ipo ya solar Tsh. 150,000/- panel watt 200 na kuendelea na ya umeme pia ipo niliambiwa bei ni sawa na ya solar.
Uwezo: 100m kutoka chini.
Sasa mnishauri, nahofia hii ya umeme nahisi inaweza kuwa ina kula unit nyingi sana. Hii ya solar limitation yake ni usiku au pasipokua na jua!
Kama una utaalam nishauri ipi nzuri na kwanini?