Kati ya Morgan Freeman, Denzel Washington na Samuel Jackson nani mkali?

1473265475143.jpg
 
Denzel ana fit perfectly into any role you give him. Hao wengine ni ktk filamu flani zenye maudhui yenye kufanana.
Kuna miaka ya nyuma huko US walimchagua Denzel kama ndiye the most handsome black American.
 
Denzel alistahili Oscar zaidi ya nne....
na alistahili kucheza first black James Bond
ni kweli kabisa. ukicheki performance ya kwenye Malcom X au ile ameigiza pilot unaweza kubali kuwa kuna Racism kwenye Academy Awards.
 
Samuel Jackson Anatishaaaaa...
Mchek Kwenye "Hatefully Eight" na "Kingsman The Secret Service" Ndio Utamkubali...
Na Izo Ni Chache Tu Nilizokutajia
Samuel kasomea uigizaji. huwa ana punchline za akili sana.
 
Denzel ana fit perfectly into any role you give him. Hao wengine ni ktk filamu flani zenye maudhui yenye kufanana.
Kuna miaka ya nyuma huko US walimchagua Denzel kama ndiye the most handsome black American.
inawezekana Denzel anapendwa sana sababu ya uhandsome, maana Samuel ana sura ya kinyakyusa kwelikweli.
 
Well, ukiwaangalia hawa actors wote ni wakali tena sana. Lakini hawawezi kuwekwa kwa katika kundi moja. Kwa Denzel yeye yupo katika category ya main/lead character(actor) while morgan na samuel mara nyingi wanakuwa katika support actors.

Ni mtazamo wangu tu
Wote watatu wameshakuwa kama lead actors katika movie nyingi tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom