Kati ya mke na mume nani mkali?

Kati ya mke na mume nani mkali?

Nini kitatokea kama watakutana ana kwa ana gest house corridoni, mme akitoka na kipotabo chake huku mke nae na mchepuko wake wakiingia gest hiyohiyo?

itakuwa ngoma draw
 
mmmmmmmh!! watuuuu
ivi ni lini wanaumr tutakubali udhaifu kwetu? kwanini mwanamke kaonekana mmbaya zaidi ili hali wote wamefanya kosa?ebu tubadilike
Mwanamke ametumia nukta mbili,kanisani na dada,wakati mwanamme ametumia nukta moja,polisi.2/1 mwanamke zaidi.
 
Back
Top Bottom