Kati ya Mkaburu na Mzulu, yupi anastahili kuiongoza Afrika Kusini?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2023
4,695
6,398
Kura yangu ingeenda kwa Mkaburu kwa sababu zifuatazo:

1. Uongozi wao ndiyo uliyoiwezesha Afrika Kusini kuwa miongoni mwa nchi zilizoendelea duniani

2. Makaburu wanaonekana ni wachapa kazi tofauti na "Wazulu" wanaoonekana ni wavivu na wapenda starehe

3. Tokea "Wazulu" washike hatamu, inaonekana kama kasi ya maendeleo ya Afrika Kusini imepungua

4. "Wazulu" wameshindwa kutokomeza uhalifu

5. "Wazulu" hawawapendi Waafrika wenzao

Kura yako ingeenda wapi na kwa nini?
 
ANC wametuangusha sana..
Ramaposa anaficha hela shambani.....afu kawa kibaraka wa waarabu na warusi,,,,baada ya kukataa kua kibaraka wa wamarekani 🤣🤣🤣
 
Kura yangu ingeenda kwa Mkaburu kwa sababu zifuatazo:

1. Uongozi wao ndiyo uliyoiwezesha Afrika Kusini kuwa miongoni mwa nchi zilizoendelea duniani

2. Makaburu wanaonekana ni wachapa kazi tofauti na "Wazulu" wanaoonekana ni wavivu na wapenda starehe

3. Tokea "Wazulu" washike hatamu, inaonekana kama kasi ya maendeleo ya Afrika Kusini imepungua

4. "Wazulu" wameshindwa kutokomeza uhalifu

5. "Wazulu" hawawapendi Waafrika wenzao

Kura yako ingeenda wapi na kwa nini?
Nchi ibaki kwa wenye nchi na si vinginevyo
 
Kaburu alipambana na kuijenga SA iwe kama ulaya na america kwa kufanya kazi kwa bidii akiamini hapo ndio kwao wamefika.

Hata ukiangalia mtaala wa elimu na mifumo ya kiafya aliyoiset Kaburu haina tofauti sana na Ulaya, kaburu wengi waliosoma mitaala hiyohiyo ya elimu na kupita kwenye mifumo hiyo wako very competent na wametapakaa kila mahala duniani wakifanya kazi za kitaalam kuanzia kwenye migodi, construction, agriculture, viwandani nk, jamaa wanafanya vizuri.
 
Dunia ingefumba macho nakutafuta ardhi yakuwapa Kaburu kama ilivyofanya kwa Jews na kuwaacha wenyewe weusi pale SA.

Baada ya 20yrs hiyo ardhi atakayopewa kaburu itakuwa kama Ulaya, na pale SA kila kitu kitakufa na mauaji yatakuwa mengi sana..
 
Nchi ibaki kwa wenye nchi na si vinginevyo
Kwani wenye nchi ni nani? Ni sawa "Wazulu" waliwatangulia Makaburu kuingia South Africa, lakini wote ni "wahamiaji".

Kiusahihi, Afrika Kusini ni ya Wazulu"" na Makaburu.

Ni kwa vile tu "Wazulu" wamewazidi Makaburu kwa idadi. Vinginevyo, viongozi wengi wangekuwa ni Wazungu, jambo ambalo nafikiri ingelikuwa ni faida kwa ardhi ya Afrika Kusini.
 
Back
Top Bottom