huwezi kuuliza ****** yapo wapi wakati umeshika mkia!!!
Marando kwa kinyamwezi ni matembere-Mboga na Makinda ni madude fulani ya kufungia ng'ombe masikioni na miguuni akiwa anatembea yanatoa mlio!Kwa hiyo Nitachagua mboga maana itanipa uhai- siwezi chagua Makinda maana ni kelele tu a.k.a debe tupu!!Nafikiri Akalee wajukuu kama si lesbian!