Kati Ya Mabere marando na Anne Makinda wampigia yupi kura yako?

Kwenye nafasi ya uspika wamchagua nani?

  • Anne Makinda

    Votes: 2 4.3%
  • Mabere Marando

    Votes: 43 91.5%
  • Hakuna aneyefaa

    Votes: 2 4.3%

  • Total voters
    47
Status
Not open for further replies.
Hebu tujipime tumegawanyika vipi ndani ya jamvi kati ya Marando na Makinda Uspika?

huwezi kuuliza ****** yapo wapi wakati umeshika mkia!!!
Marando kwa kinyamwezi ni matembere-Mboga na Makinda ni madude fulani ya kufungia ng'ombe masikioni na miguuni akiwa anatembea yanatoa mlio!Kwa hiyo Nitachagua mboga maana itanipa uhai- siwezi chagua Makinda maana ni kelele tu a.k.a debe tupu!!Nafikiri Akalee wajukuu kama si lesbian!
 
Umenikumbusha mbali sana!
 
Haya ni mazito hata mimi sikuyajua kumbe ipo kazi hapa.......
 
naogopa sana kungozwa na mtu asiyejua maana ya familia. I mean nungayembe.
 
Ingelikuwa kule kwetu kwa wabarbaig huyu mama tungempeleka unyago kwanza. Yaani kutoka kuwa chakla ya muzee hadi uspika!!!!!!!!! CCM wametudharau kabisa!!!
 
bunge ni kama familia ya watoto wenye mitazamo ya tofauti
na spika ni kama mlezi wa familia hiyo, sasa vipi mtu ambaye hana
uzoefu wa kulea famila leo apewe kuilea? Mabere is the one
 
Picha%2Bna%2B1.JPG
 
Ingelikuwa kule kwetu kwa wabarbaig huyu mama tungempeleka unyago kwanza. Yaani kutoka kuwa chakla ya muzee hadi uspika!!!!!!!!! CCM wametudharau kabisa!!!

Ingelikuwa kule kwetu kwa wabarbaig (Mungi wewe kwenu Kenya bana tunakujua sana wala usitudanganye hapa wana JF ) huyu mama tungempeleka unyago kwanza. Yaani kutoka kuwa chakla ya muzee hadi uspika!!!!!!!!! CCM wametudharau kabisa (wanawake wanaweza tuwape nafasi nao ya kuongoza)!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom