Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,175
Hebu tujipime tumegawanyika vipi ndani ya jamvi kati ya Marando na Makinda Uspika?

huwezi kuuliza ****** yapo wapi wakati umeshika mkia!!!
Marando kwa kinyamwezi ni matembere-Mboga na Makinda ni madude fulani ya kufungia ng'ombe masikioni na miguuni akiwa anatembea yanatoa mlio!Kwa hiyo Nitachagua mboga maana itanipa uhai- siwezi chagua Makinda maana ni kelele tu a.k.a debe tupu!!Nafikiri Akalee wajukuu kama si lesbian!

Nungayembe!! Hivi Anne Makinda ni miss na sio Mrs? Au?naogopa sana kungozwa na mtu asiyejua maana ya familia. I mean nungayembe.
Ingelikuwa kule kwetu kwa wabarbaig huyu mama tungempeleka unyago kwanza. Yaani kutoka kuwa chakla ya muzee hadi uspika!!!!!!!!! CCM wametudharau kabisa!!!