my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
- Thread starter
- #21
Kwani ni sheria kila mwanamke lazima apende watoto?Kama hupendi watoto kasomee uhudumu wa mochwari.
Mwanamke gani hupendi watoto?
Ajabu sana hii.
Kwani ni sheria kila mwanamke lazima apende watoto?Kama hupendi watoto kasomee uhudumu wa mochwari.
Mwanamke gani hupendi watoto?
Ajabu sana hii.
Umeona kuna watu humu kila kitu Wanajifanya wanafahamu bora umefafanuaSio lazima jukwaa la elimu ukisoma alipopostia hajakosea soma vizuri kuwa hili jukwaa ni la ushauri na pia wachumba na mambo kadhalika .
Kwahiyo hapo kwenye urafiki hii thread hai fit? Au urafiki wa hapa unahusu sex tu?JUKWAA HILI NI LA
SASA KAMA UMESHINDWA HATAKUPOST KWENYE JUKWAA HUSIKA HIYO SCIENCE NDO UTAIWEZA KWELI.
HAYA NDO MAANDALIZI YA GPA YA 32 HUKO MBELENI
EeeshhhhUmepotea njia mzee. Hii ni njia kuu kwenda POSTA.
Engineering tena. Mimi napenda course ya afya lakini sio nursing au midwiferyKama hapendi watoto na kelele zao kasome engineering. Kazi za afya uwe tayari kufanya kazi na binadamu wote.
Hata radiography utakutana na watoto.Engineering tena. Mimi napenda course ya afya lakini sio nursing au midwifery
mwambie aende midwifery, kule atashinda sana na wanawake wenzake waliotoka kujifungua....automatically ataacha tabia ya kufinya watoto wa wenzake.Hata radiography utakutana na watoto.
Fanya kile roho inapenda.nursing,midwifery na radiology zote kazi zipo nje nje.ila mshahara ni tofauti.ila tambua unesi na ukunga yataka moyo na uvumilivu na unatakakiwa uwe mpole na mpenda amani na hofu ya mungu kama una vitu hivyo utafanya kazi kwa kuipenda.nina miaka 6 kwenye wizara ya afya.Eti kati ya unesi, midwifery au radiology au medical imaging science ipi nzuri? mimi napenda sana radiology sasa wazazi wangu wananilazimisha nesi au midwifery lakini mimi hizo hazinifai kwanza sipendi watoto sipendi zile kelele zao, mimi nikisikia mtoto analia simbembelezi namfinya alie vizuri sasa nesi na midwifery si nitaua watoto wa watu. Na hii radiology(medical imaging science) ni nzuri? au nyi mnaonaje. Asanten i
Nenda kasome bntAsante kwa ushauri wako [emoji120][emoji120]
Level ya degreenaomba nkuulize ni kwa levo gan ya Elimu unataka kusomea? Baada ya apo ndo ntakushauri.